Natafuta kazi

Natafuta kazi

Nothing4good

Senior Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
180
Reaction score
55
Mimi ni mwanamke umri miaka 23 ninatafuta kazi yoyote ili niweze kupata pesa ya ada nimalizie masomo yangu chuoni kwani hela niliyokua nayo imeisha.

Na sina ndugu mwenye uwezo hata mmoja wa kunasidia please nipeni kazi yoyote mi nitafanya ilimradi tu niweze kumalizia mwaka mmoja wa masomo uliobakia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom