Nothing4good
Senior Member
- Feb 19, 2011
- 180
- 55
Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Wapo wa2 waliochagua kua wataishi peke yao bila kujihusisha na jinsia nyingine. Ktk maisha haya m2 awe mwanaume ama mwanamke huwa hana mshikamano na m2 yeyote na anapokua haend kazini hulala atakavyo. Hufanya atakalo nyumbani kwake maana hakuna m2 wakumwambia lolote
Ni maisha mazuri. Na kwa nini yasiwe mazuri na wakati unaish kama utakavyo?? Kwa hakika wewe mwenyewe unajibu la swali hilo. Maana m2 kuoa ama kuolewa ni suala la m2 binafsi na maisha yake
hata hivyo kma ungependa kuendelea kuwa kapera maisha yako yote hapa chini ziko 7bu ambazo unaweza kuzizingatia unapochukua uamuzi huu wa maana
1 UNAWEZA KUPATA ALIYE BORA BAADAE
kwa kuendelea kuwa peke yako na kuish maisha yako unaweza kushangaa anakuja m2 ambaye ndiye mungu aliyekupangia tangu awali
2 UTAFANYA KAZI YAKO VIZURI utapata nafasi nzuri ya kufanya kazi yako bila bughudha maana unakua huru kufanya kazi kwa muda uutakao wewe pia unaweza kufanya kazi hadi usiku maana huna miadi ya kutoka na m2 na utafanya mambo meng yenye manufaa kwa maisha yako. hii inamaana utakapokuwa unafanya kazi ambayo malipo yanaongezeka kadri unavyofanya kazi
3 UTAFANYA UTAKALO, WAKATI UUTAKAO utakapokuwa unaish peke yako dunia yote ni yako. ile hak ya msing ya kwenda mahal kokote na kufanya utakalo wakat wowote. Uko huru kutoka na kukesha viwanja na rafiki zako hadi asubuh hakuna m2 anayekusubir akuweke kitmoto nyumbani kwamc umechelewa.
4 UNAWEZA KUJIKUSANYIA MALI unapokuwa peke yako hususan wewe mwanaume hutalazimika kumnunulia msichana wako pete ya bei mbaya ili akawaringishie wenzake wala hutalazimika kuingia gharama zisizokua na maana ili kumfurahisha m2 wa jinsia nyingine ambaye anaweza kuishia kukuita "buzi" licha ya nia njema uliyomonyesha
5 UTAISHI KWA AMANI , U2LIVU ukish peke yako utajihakikishia amani na u2livu. Unapokuwa huish na m2 wa jinsia nyingine utaepuka presha zisiokua na maana , lawama za kishez,na ugomvi kuhusu mambo yasiyo halisi
5 HUTALAZIMIKA KUTAFUTA MUAFAKA hutalazimika