Wana jf mbona munaniacha njia panda siwaelewi..!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf mbona munaniacha njia panda siwaelewi..!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nothing4good, Feb 27, 2011.

 1. N

  Nothing4good Senior Member

  #1
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wapendwa mbona munaniacha njia panda? Jana ni2ma thread inayosema natafuta mpenz wa mkataba.cha kushangaza wa2 wakawa wana complain kwamba nimeanza mapenz nikiwa na umri mdogo.wengine wakadriki kusema kwamba wanamiaka 26, 28, lakini hawajawah guswa/gusa. Kwani mapenz ni nini hasa? Au ndo ku do? Kwangu mimi mapenz ni zaid ya kufanya ngono.ina maana kwamba wale walio do2 ndio wanaoumia wakiachwa? Sasa mbona kwangu ilikua tofauti??? Mapenz nini hasa usije kuta mimi nimeelewa kivingine. Wanaoruhusia kudo si wale2 walio katka ndoa? Au? Nijuzeni plz!!
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi jina lako linaniogopesha....

  nothing 4 good?

  u mean u are nothing 4 good?

  wewe wataka mchumba au bwana wa mkataba?
  na huyo wa mkataba hutaki ku sex nae sio?

  hebu explain kwanza..........
   
 3. d

  deecharity JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 831
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  labda kwel we ni mtoto
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Mkataba wao labda utakuwa ni wa kukiss tu
   
 5. N

  Nothing4good Senior Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Basi mi naondoka nikikua nitarudi
   
 6. N

  Nothing4good Senior Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Basi mi naondoka nikikua nitarudi
   
 7. CPU

  CPU JF Gold Member

  #7
  Feb 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mbona mimi nilikutumia PM haukujibu?? :wink2:
   
 8. J

  Just i am Member

  #8
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  itakuwa kweli bado unakuwa...
   
 9. LD

  LD JF-Expert Member

  #9
  Feb 28, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama unaona huo ni uamuzi unaokupa amani na furaha, sawa tu.......
   
 10. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #10
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwacheni, bado mdogo....msije mkamchakachua bure mtoto wa watu.
   
Loading...