Search results

  1. Mkubwa ndevu

    Mchumba ninayetarajia kumuoa ni mlevi, nifanyaje?

    Mimi ni kijana ambaye natarajia kuoa karibuni but mchumba wangu tuna kama mwaka mmoja hivi ila tatizo ni mlevi na mimi situmii kabisa pombe na cha ajabu nilikuja kujua tayari tuko ndani ya mapenzi mpaka sijui nifanyeje. Msaada please
  2. Mkubwa ndevu

    Hivi CHADEMA wapinzani wao ni ACT-Wazalendo au CCM?

    Najiuliza kwa ajili ya wanajukwaa wenzangu, hivi tatizo liko wapi au kuna mtu ndio ana hatimiliki ya upinzani na kuna mtu ana hati miliki ya utawala?
  3. Mkubwa ndevu

    Msaada Jose Mara

    mwenye link yeyote itakayonifanya niipate nyimbo ya jose mara chozi la yatima please anipe hii nyimbo naikubali kweli
  4. Mkubwa ndevu

    Msaada minyoo

    Me naumwa minyoo ambayo huwa nahisi kama wadudu wanatembea ndani ya mwili nilienda kupima nikakutwa nayo bt nimetumia dawa mbalimbali huwa nahisi unafuu kisha inarudi after 2 weeks nimetumia zentel na baadhi bt hali ndio hiyo hiyo msaada please nitumie dawa gani ?
  5. Mkubwa ndevu

    Mabomu yanalipuka Shinyanga mjini

    Mabomu ya machozi yanapigwa mida hii maeneo ya soko la nguzo nane ndani ya manispaa ya Shinyanga Mjini Update, by mbumbumbu,
  6. Mkubwa ndevu

    ndio mara ya kwanza kuenda polisi

    juzi nilienda polisi kutaka kufungua kesi ya kumdai mtu ambaye ananizungusha kunilpa bt cha kushangaza askari niliyemkuta counter akanijibu kuwa polisi hawaucki n kesi za madai wao wannahucka n kesi za jinai tu bt akaniomba 5000tsh ili amtishe huyo tapeli
  7. Mkubwa ndevu

    hii inamaanisha nini

    km mwanamke ukimtongoza alafu akakupa majibu manne tofauti hii ina maana gani km la kwanza anakwambia me ckuamini 7bu wanaume waongo unambembeleza anakwambia la pili tupeane muda wa kufikiria n kujuana la tatu anakujibu me nina boyfriend wangu la nne anakujibu ucwe n wacwac km imepangwa me kuwa...
  8. Mkubwa ndevu

    x wako anapotaka muonane huwa unafikiri anataka nini

    1)murudiane 2) kukudhuru 3) akurudishie vi2 vyako ulivyompa km zawadi 4)akushukuru kwa kuachana nae na pia akutambulishe kwa m2 wake mpya 5)anashida anaomba msaada kuwa huru useme unapopokea cmu ya ex wako unawaza kipi hapo
  9. Mkubwa ndevu

    Wako wapi hawa WEZI wa kizungu?

    Wale wizi wazungu kutoka BULGARIA waliokuwa wakiiba kwenye ATM wako wapi sasa, maana sijasikia habari zao muda mrefu sasa mwenye taarifa zao anihabarishe.
  10. Mkubwa ndevu

    Nilipokea rushwa ya CCM bila kujua na niliisaidia kushinda bila kujua sasa nifanyaje

    Ndugu zangu leo naungama hali ya kuwa nimefunga ramadhani ya 25, huu ninaosema ni ukweli mtupu mimi ni kijana wa miaka 22 najua mtashangazwa vp niliisaidia CCM kwenye uchaguzi wa 2005. Niliandikishwa kupiga kura hali ya kuwa sijatimiza umri wa miaka 18 lakini haikuwa makosa yangu nilipelekwa...
  11. Mkubwa ndevu

    Wamefeli hao

    Mwanzoni nilivyokuwa na sikia promotion nilifiki itakuwa na mvuto lkn sasa nimeona tofauti haina sauti rangi nyingi na isitoshe picha zake nyembamba na maanisha clouds tv km ndo wanataka kushindana wamefeli
  12. Mkubwa ndevu

    Silipi kodi tena

    Kwa hali hii sielewi kodi yangu inakwenda wapi ndugu yangu majuzi alipata ajali tabora baada ya gari kupinduka la kazige kilochotokea baada ya kufika hospitali ya wilaya ya nzega kupata matibabu aliyoyapata wakamshona bila sindano ya ganzi alivyo wauliza watabibu wakamjibu hamna ganzi sasa kama...
Back
Top Bottom