Silipi kodi tena

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,045
359
Kwa hali hii sielewi kodi yangu inakwenda wapi ndugu yangu majuzi alipata ajali tabora baada ya gari kupinduka la kazige kilochotokea baada ya kufika hospitali ya wilaya ya nzega kupata matibabu aliyoyapata wakamshona bila sindano ya ganzi alivyo wauliza watabibu wakamjibu hamna ganzi sasa kama hali ndo hivi kodi yangu inaenda wapi
 
Kaka Kodi yako anasafiria MKULU huko anakokwenda kwenye birthdays za watu!! jamaa anatufilisi tunamwona hivihivi
 
Ukisema usilipe kodi maana yake hata sokoni usiende, maana kila unachonunua unalipa kodi, hata daladala usipande, so ni vigumu kaka kutolipa kodi, dawa ni kuendelea kupigania kodi zetu zitunufaishe
 
Ushauri wako mzuri nafikiri bora kuwe na serekali huduma na serekali safari
 
Pia usinunue vocha, acha soda (pia bia hii ni balaa zaidi), unless we mfanyabiashara (ila hata huku unasaidia kuzikusanya) acha kazi sababu PAYE ni hayohayo.

Ila pole, inaudhi na kukasirisha
 
Pia wale wanaoenda kulala hadi kumwaga kojo bungeni ndo wanakula kodi zetu
<br />
<br />

Hivi kuna haja gani ya kuwa na wabunge wengi kiasi hiki? Nadhani ccm walikuwa wanaaongeza tu majimbo kupeanan ulaji.

Nikiangalia bunge naona wabunge effective hawafiki hata 100. Mimi nadhani majibo yange baki tu kama idadi ya wilaya zilivyo na kuondoa viti maalumu.
 
Kwa hali hii sielewi kodi yangu inakwenda wapi ndugu yangu majuzi alipata ajali tabora baada ya gari kupinduka la kazige kilochotokea baada ya kufika hospitali ya wilaya ya nzega kupata matibabu aliyoyapata wakamshona bila sindano ya ganzi alivyo wauliza watabibu wakamjibu hamna ganzi sasa kama hali ndo hivi kodi yangu inaenda wapi

Mkuu huombwi kulipa kodi, kama wewe ni mfanyakazi lazima ulipe kodi siyo ombi, na kama wewe ni mfanyabiashara ni lazima ulipe kodi vinginevyo TRA lazima wakuhanisi
 
Yaani nasikitika ndugu zangu kupita maelezo bro wangu kashonwa nyuzi 4 chini ya sikio bila ganzi ili bidi akatae pia kushonwa mdomo hali itaisha kweli ?
 
mkuu kaa ukijua kabisa kibongobongo kuanzia mimba mpaka maiti zinalipa kodi so pole sana kwa hilo la ajali Mungu atakusaidia..
 
Kwa hali hii sielewi kodi yangu inakwenda wapi ndugu yangu majuzi alipata ajali tabora baada ya gari kupinduka la kazige kilochotokea baada ya kufika hospitali ya wilaya ya nzega kupata matibabu aliyoyapata wakamshona bila sindano ya ganzi alivyo wauliza watabibu wakamjibu hamna ganzi sasa kama hali ndo hivi kodi yangu inaenda wapi

nakubaliana nawe
 
"Basi,
mpeni Kaisari vilivyo vyake
Kaisari, na Mungu vilivyo vyake
Mungu."
 
kazi tunayo hoja nyingine zinataka uwe mbayumbayu kwenye hii jamii forum
 
natamani 2015 ifike faster ... mheshimiwa flani atoke pale magogoni...
 
Back
Top Bottom