Wako wapi hawa WEZI wa kizungu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wako wapi hawa WEZI wa kizungu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkubwa ndevu, Oct 10, 2011.

 1. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 737
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Wale wizi wazungu kutoka BULGARIA waliokuwa wakiiba kwenye ATM wako wapi sasa,
  maana sijasikia habari zao muda mrefu sasa mwenye taarifa zao anihabarishe.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Uchunguzi unaendelea
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii nayo ni post ya jukwaa la siasa eti??
  MOD, delete this nonsense immediately please. Ulevi wa asubuhi asubuhi bila kunywa supu kwanza mbaya sana.
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,854
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Wamesharudi kwao.na maela kibao
   
 5. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,130
  Likes Received: 10,456
  Trophy Points: 280
  teheeeeee aseeee kumbe inabidi upige supu eeh
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 2,454
  Trophy Points: 280
  Unataka wakupe knowledge?
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,528
  Likes Received: 2,454
  Trophy Points: 280
  kipi kimekuchekesha hapo?. Unaweza ukawa chizi bila ya kujitambua.
   
Loading...