Msaada Jose Mara

Msaada Jose Mara

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
1,043
Reaction score
358
mwenye link yeyote itakayonifanya niipate nyimbo ya jose mara chozi la yatima please anipe hii nyimbo naikubali kweli
 
Kwa hiyo kuulizia Jf ni kazi rahisi kuliko kuingia YouTube?
Ukiitwa Zuzumagic namba moja usikatae
ndugu hyo nyimbo nenda google wala upati you tube amna hata huko jaribu utaona kuna nyimbo azipatikan kirahisi mfano hata ile aliimba ali choki mwaka wa tabu nayo utaangaika sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom