hii inamaanisha nini

Mkubwa ndevu

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,045
359
km mwanamke ukimtongoza alafu akakupa majibu manne tofauti hii ina maana gani km la kwanza anakwambia me ckuamini 7bu wanaume waongo unambembeleza anakwambia la pili tupeane muda wa kufikiria n kujuana la tatu anakujibu me nina boyfriend wangu la nne anakujibu ucwe n wacwac km imepangwa me kuwa nawe itakuwa tu
 
kawaida sana, hii inamaanisha bado hajaridhishwa na commitment zako kwake....kwa hiyo yo need to prove it thrgh action!
 
mwanamke wa namna hiyo bado anahitaji ushawishi zaidi ingawaje jibu lako analo.

Kama kweli ana boyfriend ni wazi anataka ajiridhishe asije akatema bigjii kwa karanga za kuonja.
 
Back
Top Bottom