Habari Tanzania,
Natumia muda huu kuongea machache hapa na ninyi wapambanaji wenzangu.
Kuna kampuni mpya inayojishughulisha na shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbali mbali za vyakula, na kwa kipindikifupi sokoni lakini imefanikiwa kukuza brand yake katika masoko mbali mbali ndani na nje ya...
Kama unahitaji kupata website au online Store, na professional emails tupigie tukuhudumie kwa bei nafuu .
Huduma zetu ni za uhakika na haraka.
Karibuni
Simu 0763152615
Nahitaji, familia nipo mimi na mchumba wangu, hatuna watoto, ni kwaajili ya kusaidia kazi za ndani pamoja na ujasiliamali wa viungo vya chakula salary 100k, Nipo Dar es salaam
Tuma msg kwa 0763152615
Habarini za leo wadau.
Naomba msaada jinsi gani naweza kupata simu yangu iliyo potea kwa kwa kutumia IMEI number, niliibiwa simu na mkoba wa laptop ukiwa na document muhimu sana. ahsanteni
Habarini za kazi,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale...

nimekuelewa mkuu, lakini tatizo hili lilianza kunisumbua toka nikiwa mdogo sijamaliza hata kidato cha nne, na hata nilikuwa sijamjua mwanamke, pia sivuti sigara wala sinywi pombe
Habarini za kazi,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale...
mimi ni nkijana mwenye umri wa miaka 31, nimeoa na kwa sasa tunazaidi ya mwaka mmoja katika ndoa yetu, ila nimekuwa natatizo ambalo limekuwa likinisumbua kwa mda sasa,
kila nikishafanya tendo la ndoa na mke wangu, yale maji maji yake huwa yananiwasha, na kupelekea kujikuna lakini hata nikioga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.