Wanahitajika vijana wa kufanya mauzo ya bidhaa

Buseresere

Member
Feb 17, 2011
45
21
Habari Tanzania,

Natumia muda huu kuongea machache hapa na ninyi wapambanaji wenzangu.

Kuna kampuni mpya inayojishughulisha na shughuli za uzalishaji wa bidhaa mbali mbali za vyakula, na kwa kipindikifupi sokoni lakini imefanikiwa kukuza brand yake katika masoko mbali mbali ndani na nje ya nchi.
ili kuendelea kupanua wigo wa biashara kampuni imeamua kuongeza uzalishaji.

kwa sasa kampuni inahitaji vijana watano (5) kwaajili ya kufanya mauzo ya bidhaa katika maeneo tofauti tofauti

Sifa:
1. Awe ni kijana mwaminifu na wmenye kujituma, mwenye uwezo wa kufanya kazi pasipo kusimamiwa.
2. Awe na uzoefu katika masuala ya mauzo (Sales)
3. Awe na uwezo wa kusoma, kuandika na kuongea kiswahili na kingereza
4. Awe mkazi wa Dar es salaam
5. Elimu: kidato cha nne na kuendelea

Maombi yatumwe kwenda:
Paulbuberwa@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom