Search results

  1. muzi

    Mambo (7) wasiyotaka Wanamke wakati wa tendo

    Mwanaume kumaliza sex na kuondoka. Unapomaliza kusex na kuinuka unaondoka anaumia, anahisi kukatiliwa vibaya kihisia, anaweza asije tena, mwanamke anahitaji angalau dk 20 za kuongea nawe, wako hivyo! Usifike kitandani na kuanza sex. Mwanamke anahitaji maongezi kiasi fulani ili akili yake iwe...
  2. muzi

    Namna ya kufungua account iliyozuiwa kupost Telegram

    Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka ku-post chochote inakuja SMS inasema sorry, you are currently restricted from posting in this group...
  3. muzi

    Nimetangaza ndoa ila nimekataliwa ghafla, bora niwe baharia

    Muzee hakuna mkate mgumu kwa chai maana yake tafuta ela, ukiwa na ukwasi mbona hata kesho unaoa mzee. TAFUTA ELA ZA KUTOSHA
  4. muzi

    Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Babu waarabu wanakulaga kwao hapo umejichanganya, unwaeza kuata hao watoto umezaa naye si wakwako bwana mzee. Waswahili kibao wenye wake wa kiarabuu wanachezewa rafu kibao, wanazaa na wenye ASILI yao. Chukua hiyo mali mpya lea hao watoto wako ila jiandae na kesi na fitina na kuendewa kwa waganga...
  5. muzi

    Ushauri: Lecturer ananitaka kimapenzi, ananitishia yeye ndio mwenye hatma ya matokeo yangu

    Una kipaji cha kutengeneza story kama Eric Shigongo, jitahidi utafika mbali
  6. muzi

    Mke wangu ananipa wakati mgumu

    Yaani hapo kutombewa mpaka unabeba mimba sio shughuli ya kitoto, inamaana alishafanya mke wa mtu. Ingekuwa mm ningefunga safari ya kimya mpaka alipo, namchukua na kwenda kupima, nikikuta anayo namchukua nampeleka kwa wazazi wake, namkabidhi na safari imeishia hapo. Naanza maisha mengine mapya na...
  7. muzi

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    VODCOM NI WEZI WAKUBWA Yaani nyie na makampuni zingine mna tabia ya kuunga watu kwa huduma ambazo hawajaomba. Mnawatumia ujumbe za miziki, mapenzi, michezo, uganga, na maujinga kibao. Na mkikata hizo pesa ni kimya kimya wala hakuna SMS hivyo mteja hawezi kushtuka. Mnapata pesa kitapeli ambazo...
  8. muzi

    Vodacom acheni utapeli, mnaungaje mtu na huduma asizozijua?

    Yaani nyie na makampuni zingine mna tabia ya kuunga watu kwa huduma ambazo hawajaomba. Mnawatumia ujumbe za miziki, mapenzi, michezo, uganga, na maujinga kibao. Na mkikata hizo pesa ni kimya kimya wala hakuna SMS hivyo mteja hawezi kushtuka. Mnapata pesa kitapeli ambazo ni sawa na wizi. Mtu...
  9. muzi

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Mi nasubiri maka plate number ianze ZZZ ndo nanunua gari
  10. muzi

    Gari kutikisika Injini ikifikia speed 100Khr na kuendelea!

    Uko sahihi kabisa, IST yangu ilianza huu ugonjwa nikauza nikanunua pickpick
  11. muzi

    Penzi limekolea hadi najiuliza wanaochepuka wanatafuta nini?

    Kuwa uyaone, naona ndo unachipukia kama vile demu aliyetolewa bikra. Better shut-up your mouth and learn, yaonekana wewe bado mchanga sana kwenye hayo mambo
  12. muzi

    Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania

    Yaani nyie ndo wale wanaume akina Bushoke, rubbish square.
  13. muzi

    Nashukuru Mchumba wangu Amenisamehe baada ya Kumfumania

    Yaani we fala sana, unafumania unapigwa mkwara alafu unaomba msamaha? Nani kaolewa hapo? Yaani utachapiwa mpaka kuzalishiwa, pambafu sana unaleta mada ya kujidhalilisha
  14. muzi

    Simuelewi anataka nini

    Acha uyaya wa mapenzi, yaani bado hujitambui, wanaume of 21 century wanata mpaka uwashikie mapanja, hawajielewi kabisa
  15. muzi

    Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

    We mzee kilichokupeleka hapo ni shida ya ugonjwa wako, naye kaenda kwa shida ya ugonjwa wake. Tatizo ni nini, mind your fucking business and work. Nyie ndo wale mnateseka na maisha ya watu wengine
  16. muzi

    Changamoto ya kununua magari ya mkononi

    Watakuambia gari ya muhindi mama anakwenda nayo sokoni mara baba anakwenda nayo ofisini tu
  17. muzi

    Biashara ya maji maarufu kama Water ATM

    Hapo hakuna jipya kuna ATM za maziwa na maji, nenda Moshi na Mazimbu-Morogoro utakuta. Ni ngumu bado haina tija kwa mazingira ya kibongo, watavunja na kuiba, bado kama ATM itahitaji mtu kuwepo hapo muda wote wa biashara
  18. muzi

    Forex sio utapeli na ninajuta kuchelewa kuiamini

    Hongera sana, naona una kuja kama yule anajiita Sir................... na hangover za Kilinda, etc. ujanja ni huu chukua ndugu zako wote na ukoo wako wote waingize huko mpate mapesa mengi. Mkishakuwa matajiri kama MO, AZAM, etc. na wengine ntajiungana wewe
  19. muzi

    UFAFANUZI: Rais kuingia na kiti chake Kanisani Mkoani Kagera

    Mleta mada anatetea maafi na maafi yake, acheni njaa na kujipendekeza kwa watawala ili mpate mkate wenu wa kila siku, hiyo kiti basi iwe inapelekwa chooni, kwenye ndege, kaburini kila aendako. Acheni kuleta siasa kwenye nyumba ya Mungu, hakuna MKUU NA UKUU astahiliye zaidi ya aliyeumba mbingu...
Back
Top Bottom