Search results

  1. Susy

    Akili za kushauriwa changanya na zako

    ww unawaza nini?
  2. Susy

    Nimeshindwa kuvumilia!!

    Nawapenda nyote, na ninawasalimu pia!!! katika soma soma ya habari wapendwa kuna habari na picha nimekutana nazo zimenitoa machozi, nimesikitika sana, na nimeumia sana, sijui wewe mwenzangu ndio maana nimeamua tuone pamoja!! chakusikitisha zaidi wameunguzwa na wazazi wao wenyewe!, wala si...
  3. Susy

    Sitasahau!!!

    Asalam aleikum!!! Bwana Yesu asifiwe!! Nimesoma thread ya Lizy kuhusu unyanyasaji wa watoto ikanikumbusha mbali sana, hakika imenitoa machozi!! Nakumbuka miaka ya nyuma sana wakati nikiwa na miaka 4 tu, mama yangu alifariki kwa ugonjwa wa cancer, hatukukaa hata mwaka baba naye alifariki na...
  4. Susy

    "kojoa dear"

    Wananikera sana wanaojifanya watetezi wa haki za watoto. Haki ya mtoto hapa iko wapi??............... akikojoa kitandani anachapwa, ila mtu mzima akitaka kukojoa, anapigwa mabusu motomoto, Mwaaaa swty, mwaaaaaa honey, mwaaaaa darling!!!!! "kojoa dear" Anakumbatiwa na kuambiwa mmh...
  5. Susy

    mwaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaa

    najua wk end hii wapo walio umizwa na wapenzi wao kwahiyo wamevunjika moyo... mie nakupa hiii .......mwaaaaaaaaaaaaaaaa kwa wale walio fiwa na wapendwa wao wamekosa mfariji, Mungu awe mfariji wako na pokea hili ............... mwaaaaaaaaaaaaaa wanawake wote wapenda maendeleo...
  6. Susy

    Mfungwa katoroka gerezani!!

    Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi” Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya kwanza?“Sawa Honey ni jambo rahisi sana” akajibu bwana harusi. Sasa ni hivi…hizo sehemu zako za...
  7. Susy

    Mnasubiri mpaka nife ndio mniletee maua kaburini ?????

    Huwa nataabika sana!! najiuuliza sipati majibu!! ni kwanini watanzania tupo hivi??? ni kwanini serikali yetu ipo hivi?? Tumelogwa sie???????? nani katuloga??????? kwanini ukimuona mwenzio amefanya jambo zuri kwanini huwezi kumsifiaa??? kwanini huwezi kumtia moyo?? kumwambia songa mbele...
  8. Susy

    Mkwere kufungua jiwe la shule ya msingi loliondo

    Kwa habari nyepesi nyepesi nimesikia eti nanihiiiiiiii!!! Mkwere ataenda kufungua jiwe la shule ya msingi loliondo hivi karibuni. Hivyo basi serikali imetoa tamko kuwa watu wasiende tena kwa babu, mpaka walioko kule warudi, hapa mie sielewi jamani!! wana JF, hembu tuambiane ukweli, kwani...
  9. Susy

    Vicky Kamata aokoka

    Zilikuwa ni habari za uvuguvugu nilizokuwa nazisikia bila kuamini, ila jana alithibitisha mwenyewe pale alipouulizwa na mtangazaji Rita wa Praise power pale Diamond Jubilee kama ni kweli ameokoka au lah!! Vick alijibu hivi " Yes!! nampenda Yesu" kuthibitisha hayo aliimba kibao chake...
  10. Susy

    All about ave

    Nawasalimuni nyote ndugu zangu!! All about Ave ni tamthilia ambayo hurushwa na star tv, imejaa visa, mapenzi na usaliti!! imeigizwa na wasanii mahiri na kila mmoja akiicheza vema sehemu yake tofauti na waigizaji wetu wa hapa nchini. Napenda niwalete kwako Nicole na Erica, wamenipa changamoto...
  11. Susy

    Baada ya mgao wa umeme sasa ni mgao wa mabomu.

    Ndugu wa Tanzania wote!! Baada ya mgao wa umeme sasa ni mgao wa mabomu, ulianzia mbagala, na sasa Gongolamboto imefuaata, itakuja mabibo farasi, utafika upanga, utapita utaenda mpk Mwenge pale mlalakuwa, halafu utaruka mpaka Kigamboni nevy!! kule utateketeza kila kitu ili iwe rahisi kujenga mji...
  12. Susy

    Nitampataje mume mwenye vigezo hivi?

    Wapendwa nawasalimu!! Ninatumai kila mtu ana sifa za ama mke au mume anayemtaka, rafiki zangu wa JF, napenda sana nipate mume mwenye vigezo hivyo hapo nilivyovitaja lakini kila siku imekua kinyume kabisa na matarajio yangu. 1. Awe Mkirsto 2. awe mweupe 3. awe na feature ya maisha, kwani...
  13. Susy

    Nivituo gani vizuri vya qt vi

    Nawapenda nyoteeeeeee wana JF nilikuwa naomba kusaidiwa je nivituo gani vizuri ambavyo naweza kumpeleka mdg wangu akasome kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja? namaanisha kituo ambacho hakina mizengwe na chenye walimu wazuri, help!!
  14. Susy

    Kipele sehemu za ndani za siri

    Nawasalimuni nyote!! Wapendwa nina zaidi ya miaka nane nina kipele kidogo sana mfano wa chunusi ambacho mpaka nijishike mwenyewe ndio nijue kama kuna kipele. Kipele hicho nimekaanacho takribani ss miaka 8, hapo awali sikudhani kama ni shida na niliona ni hali tu ya kawaida, ila kwa ss nasikia...
Back
Top Bottom