Baada ya mgao wa umeme sasa ni mgao wa mabomu.

Susy

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
1,431
221
Ndugu wa Tanzania wote!!

Baada ya mgao wa umeme sasa ni mgao wa mabomu, ulianzia mbagala, na sasa Gongolamboto imefuaata, itakuja mabibo farasi, utafika upanga, utapita utaenda mpk Mwenge pale mlalakuwa, halafu utaruka mpaka Kigamboni nevy!! kule utateketeza kila kitu ili iwe rahisi kujenga mji mpya, hapo ndipo utakaporudi mpaka pale uhasibu! wakati huo wakazi wa mbagala watakuwa wameshasahau kidogo, kisha utamalizikia pale External kambi ya jeshi ukiunganisha na zile Gas za Songas pale Ubungo ikipokelewa na Tanesco pale pale Ubungo bila kusahau kile kituo cha mafuta kilichopo opp na Songas.

Hapo ubungo itakua flati kama mji wa Sodoma na Gomora ulivyochomwa moto.

Ratiba inaonyesha mgao ukiisha Dar es Salaam utaanza na mikoani haraka iwezekanavyo!!
 
Duh,sipati picha inaelekea susy una roho mbaya jamani teh teh teh teh teh,yani umegawa mgawo wa mabomu utadhani weye ni israel mtoa roho duh,
 
kwahiyo tuliohama goms unatushauli turudi cuz tusijehis tuna mkosi ikifika zam ya sehem tuliopo !!!!!!
 
Ni kweli kabisa huuu ni mgao!..Dar es salaam kusini tayari wameshapata (Mbagala), ikafuatia Dar magharibi(GOMS), Clockwise, itafuatia Dar kaskazini (Lugalo) then Dar mashariki(Navy Kigamboni). Hivyo yale maeneo yaliyokwisha pata mgao wake ndiyo salama zaidi kukimbilia na kuishi kuliko haya ambayo yamo kwenye waiting list.
 
hahahaaaaaaaa nzirie,EL, Ney mm naona ni vema ss tuhamie Goms coz, mbagala utarudi tena mara ya pili kwa jinsi ratiba inavyoonyesha. ila nawashauri wakazi wa ubungo waanze kuhamisha mali zao taratibu na kubomoa nyumba zao kama vile tanroads wanavyowashauri walio kando ya barabara.
 
h ahahaaaaaaaaaaaaa, na mwenyewe kashatinga nchini
 
Ndugu wa Tanzania wote!!

Baada ya mgao wa umeme sasa ni mgao wa mabomu, ulianzia mbagala, na sasa Gongolamboto imefuaata, itakuja mabibo farasi, utafika upanga, utapita utaenda mpk Mwenge pale mlalakuwa, halafu utaruka mpaka Kigamboni nevy!! kule utateketeza kila kitu ili iwe rahisi kujenga mji mpya, hapo ndipo utakaporudi mpaka pale uhasibu! wakati huo wakazi wa mbagala watakuwa wameshasahau kidogo, kisha utamalizikia pale External kambi ya jeshi ukiunganisha na zile Gas za Songas pale Ubungo ikipokelewa na Tanesco pale pale Ubungo bila kusahau kile kituo cha mafuta kilichopo opp na Songas.

Hapo ubungo itakua flati kama mji wa Sodoma na Gomora ulivyochomwa moto.

Ratiba inaonyesha mgao ukiisha Dar es Salaam utaanza na mikoani haraka iwezekanavyo!!

duh! alafu haya mambo ni yakufanyia kazi seriously!
 
Back
Top Bottom