Mfungwa katoroka gerezani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfungwa katoroka gerezani!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Susy, Mar 11, 2011.

 1. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi” Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya kwanza?“Sawa Honey ni jambo rahisi sana” akajibu bwana harusi. Sasa ni hivi…hizo sehemu zako za siri tuziite GEREZANI na zangu tuziite MFUNGWA.


  Tutakachofanya sasa ni kumuingiza MFUNGWA GEREZANI... bi harusi akajikuta anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza.


  Baada ya shughuli hiyo nzito Bwanaharusi akalala chali huku akitabasamu kwa ridhiko alopata. Mara akamsikia bi harusi akimtonya; “honey naona MFUNGWA katoroka GEREZANI” Bwanaharusi akamgeukia bibi harusi wake kwa tabasamu na kusema "Itabidi tumrudishe tena GEREZANI!"


  Baada ya round ya pili jamaa akataka kuamka ili avute sigara yake wakati bi harusi aki-enjoy experience yake mpya katika mapenzi. Kabla hajatoa mguu wa pili kitandani Bi harusi akamgusa mumewe huku akitabasamu na kusema “Honey MFUNGWA ametoroka tena” jamaa ikabidi akubali kumrudisha Mfungwa Gerezani.


  Mchezo ukawa hivyo hivyo mfungwa akitoroka anarudishwa Gerezani hadi jamaa akawa hoi bin tabaani, jamaa akawa amechoka hadi miguu ikakosa nguvu! Kila akifikiria sasa atapumzika mara anasikia sauti "Honey MFUNGWA katoroka tena"  Mwishowe jamaa akashindwa kuvumilia akamjibu kwa ukali


  "Alaaaaa! huyu MFUNGWA hajafungwa kifungo cha maisha ati!!!!!!!!!!!!"
   
 2. kyemo

  kyemo Senior Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 197
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli ni noma,mtt wa kike kila saa anataka tu

  :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
   
 3. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahahahahahaha pasua kichwa hii..
   
 4. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,739
  Likes Received: 5,152
  Trophy Points: 280
  hiyo kali kwakweli
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  :tongue: Duuu, ningekuwa mimi.......
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,980
  Likes Received: 6,523
  Trophy Points: 280
  Hahahhahaaa, umbea wote kwisha
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,626
  Likes Received: 11,536
  Trophy Points: 280
  hhahahahahahhaha
   
 8. j

  jmwitango Member

  #8
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana ugeni wowote huyo, ni mzoefu tena shangingi
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,533
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  mambo ya ucku
   
 10. E

  Edo JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2011
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kabisaaaaaaaaa
   
 11. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 599
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hahahahaha yan nimecheka mpaka kichomi
   
 12. folofolo

  folofolo Member

  #12
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahhahahahhahahahhahahahahahahahhahahhhaahahhaahahahhahahahahahahahhahahahahahaaaaaaahhhhhahahahahahahaahahahaha,Inatosha.
   
 13. aye

  aye JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,869
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  mzoefu uyoo
   
 14. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,917
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii, uwiiiiiiiiiiii mbavu sangu mie!
   
 15. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,260
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Tehe Tehe Tehe !!! Mzoefu huyo!
   
 16. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Mzoefu tena sana, ila kwanini Jamaa akumwambia mfungwa kamaliza kifungo.
   
 17. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  duh! Kaz kwel kwel
   
 18. papaa-H

  papaa-H Member

  #18
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tih.....tihi ......tih..................................iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 19. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #19
  Mar 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,747
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  hii nayo imekaa vizuri
   
 20. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #20
  Mar 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jamani msivunje mbavuuuu!!! mie naona huyu binti alikuwa mzoefu sema aliamua kutumia mchina!!
   
Loading...