Nivituo gani vizuri vya qt vi

Nivituo gani vizuri vya qt vi

Susy

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2011
Posts
1,431
Reaction score
222
Nawapenda nyoteeeeeee wana JF

nilikuwa naomba kusaidiwa je nivituo gani vizuri ambavyo naweza kumpeleka mdg wangu akasome kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja? namaanisha kituo ambacho hakina mizengwe na chenye walimu wazuri,

help!!
 
Nenda maeneo ya mwenge kuna k2o kinaitwa decent kama vp ni pm then nikuelekeze hapo
 
Back
Top Bottom