"kojoa dear"

Susy

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
1,431
221
Wananikera sana wanaojifanya watetezi wa haki za watoto. Haki ya mtoto hapa iko wapi??............... akikojoa kitandani

anachapwa, ila mtu mzima akitaka kukojoa, anapigwa mabusu motomoto, Mwaaaa swty, mwaaaaaa honey, mwaaaaa darling!!!!!
"kojoa dear"

Anakumbatiwa na kuambiwa mmh!!

TAFAKARI, ZINGATIA NA CHUKUA HATUA

"HAKI WATOTO"
 
kwe kwe kwe kwe ha ha ha ha,he mbona hukojoi? mmmmmmh hilo neno kweli lakini kwakuwa wakojolea shimoni hivyo kitanda hakichafuki....:focus:
 
SONGELA ZIGI ZIGI:lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
wananikera sana wanaojifanya watetezi wa haki za watoto. Haki ya mtoto hapa iko wapi??............... Akikojoa kitandani

anachapwa, ila mtu mzima akitaka kukojoa, anapigwa mabusu motomoto, mwaaaa swty, mwaaaaaa honey, mwaaaaa darling!!!!!
"kojoa dear"

anakumbatiwa na kuambiwa mmh!!

tafakari, zingatia na chukua hatua

"haki watoto"

acha matusi wajameni, kwani bila matusi jamvi hili haliwezi kupendeza
 
Tofauti ipo kwenye aina ya kukojoa na material ya kukojoa. Watoto wanakojoa bila kupenda wakati wakubwa wanakojoa kwa kupenda. Lakini kubwa zaidi (kwa maisha ya sasa), watoto wanakojoa uchafu wakati wakubwa wanakojoa CHAKULA
 
  • Thanks
Reactions: aye

Similar Discussions

Back
Top Bottom