Mkwere kufungua jiwe la shule ya msingi loliondo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkwere kufungua jiwe la shule ya msingi loliondo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Susy, Mar 9, 2011.

 1. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa habari nyepesi nyepesi nimesikia eti nanihiiiiiiii!!! Mkwere ataenda kufungua jiwe la shule ya msingi loliondo hivi karibuni.

  Hivyo basi serikali imetoa tamko kuwa watu wasiende tena kwa babu, mpaka walioko kule warudi, hapa mie sielewi jamani!!

  wana JF, hembu tuambiane ukweli, kwani arusha hakuna hata mkuu wa mkoa anayeweza kufungua jiwe la shule ya msingi??

  Au ndio lbd anataka apitie na kwa babu???

  nawakilisha!!!
   
 2. c

  carefree JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jiwe la msingi huwekwa 'halifunguliwi'
   
 3. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dawa alishapata anakwenda tafuta nini tena?
   
 4. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  :wink2:
   
 5. Omukuru

  Omukuru JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kufungua jiwe la shule ya msingi???????
  Hili ni jambo jipya kabisa katika historia ya binadamu
   
 6. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mwenzenu kiswahili nilipataga Z
   
 7. Wisdom

  Wisdom JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 473
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona kwenye dawa alikuwa mmoja wa waliokuwa wa mwanzo, alipoenda kufukua nyayo za binadamu wa kale Loliondo Unakumbuka?
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha hahaaaaaaaaaa!!!!!

  naona anataka arudie mara ya pili!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,469
  Likes Received: 19,851
  Trophy Points: 280
  we izi taarifa umezipata wapi? Si za kahawani hizi kweli?
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mfuatilieni atupe mrejesho wa dozi aliyopata
   
 11. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha hah aaaaaaaaaaaaaaaaa raia fulani lol!!
   
 12. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ivuga na jukwaa lenyewe unalionaje????????

  au hujui upo katika jukwaaa gani??
   
Loading...