All about ave

Susy

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
1,431
220
Nawasalimuni nyote ndugu zangu!!

All about Ave ni tamthilia ambayo hurushwa na star tv, imejaa visa, mapenzi na usaliti!! imeigizwa na wasanii mahiri na kila mmoja akiicheza vema sehemu yake tofauti na waigizaji wetu wa hapa nchini.

Napenda niwalete kwako Nicole na Erica, wamenipa changamoto kubwa sana hasa katika swal zima la mapenzi, utendaji wa kazi na maisha kwa ujumla!! Ila nashindwa kuwaelewa nini haswa malengo yao hivi hawa wanapenda au wanatamani? Ninani haswa anayempenda Kenethy au Worrin?

hapa sijaelewa lengo la Mtunzi wa hii tamthilia je Erica anatufundisha nini haswaa??

Je ni mhusika gani mwingine aliyekuvutia zaidi katika tamthilia hii?? na kwanini amekuvutia??

Nawakilisha jamvini kwa watizamaji wa hii tamthilia!!
 
Dena haiwezekani ww huitizami hii tamthilia lol, tafuta cd zake!! ni nzuri sana
 
Asante. Ngoja tusubiri wanaoangalia

Star TV, Capital, Channel Ten, ITV wote hawa wanarusha tamthilia kila wakati na kwa muda tofauti, and then wadogo zangu wa kike (age btn 18 to 24) watataka afuatilie kila tamthilia, na kila tamthilia ina run for several hours on air?!!!!
Kwa kweli nawasikitikia sana wadogo zangu hawa kike wanaoangalia hizi pumba, muda wao wote wanazungumzia hizi takataka hata wakishamaliza kuangalia. Hata dada zangu karibu wote walio ktk ndoa hawapendi kuangalia hizi blah blah coz wanasema haziwasaidii chochote ktk maisha wanayoishi sasa hapa Tanzania. Wanasema bora waingie JF watajifunza mengi
 
CPU mjukuu wangu Michele ni MY DEAR wako?

Afu hiyo signecha hebu nitafsirie kwa lugha ya Nyerere tafazali........

Babuuuuuuuuuuuu! Babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Daaah! Umerudi!
Ulikabwa na kaburu nini?
 
Star TV, Capital, Channel Ten, ITV wote hawa wanarusha tamthilia kila wakati na kwa muda tofauti, and then wadogo zangu wa kike (age btn 18 to 24) watataka afuatilie kila tamthilia, na kila tamthilia ina run for several hours on air?!!!!
Kwa kweli nawasikitikia sana wadogo zangu wa kike (age btn 18 - 24) wanaoangalia hizi pumba, muda wao wote wanazungumzia hizi takataka hata wakishamaliza kuangalia. Hata dada zangu karibu wote walio ktk ndoa hawapendi kuangalia hizi blah blah coz wanasema haziwasaidii chochote ktk maisha wanayoishi sasa hapa Tanzania. Wanasema bora waingie JF watajifunza mengi

CPU (kitengo kikuu cha usindikaji) kuna mwanangu anaitwa Kevin ana miaka 12, alikuwa haambiwi kitu kwenye haya madudu ya tamthilia, bahati nzuri tv tuliyokuwa tumeazima ikachikuliwa na mwenyewe, nikashukuru Mungu.
 
CPU (kitengo kikuu cha usindikaji) kuna mwanangu anaitwa Kevin ana miaka 12, alikuwa haambiwi kitu kwenye haya madudu ya tamthilia, bahati nzuri tv tuliyokuwa tumeazima ikachikuliwa na mwenyewe, nikashukuru Mungu.

Komredi Lukansola unanivunja mbavu :pound::pound::pound::pound::pound::pound:Uliazima TV haha ha ha ha
Hako katoto kataanza kusoma sasa nadhani, maana ni hatari tupu
 
ha hahaaaaaaaaaaa!! Michelle unafaa kuwa comedian!!
 
cpu mfuate dada michelle chumbani hapa sebleni bana lol!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom