Search results

  1. _ly

    Ikiwa tumekufa tutaweza kutambua kama tumekufa?

    Out of mada; Nacheka sana pale ambapo kuna watu humu ndani baada ya kufa wataitwa mizimu na wataombwa watatue shida za vituu vyao...[emoji28][emoji28]
  2. _ly

    Ni muda gani hutakiwi kuzidisha bila kushiriki tendo la ndoa na mwenza wako, ili ndoa iwe hai?

    Kuna mda ndoa inakuwa na majukumu mengi mpka sex inakuwa ni kero, kwa mfano kwa mwanaume unadaiwa kodi, ada watoto nabado kazi haziendi vzr madeni kila kona unadhani hapo utakumbuka sex..? Hapo unaweza kaa hata mwezi na uko freshi tu huna nyege, nyege zinakuja kurudi pale mishono imepungua...
  3. _ly

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Watu wengi watabeza sana hii kitu, lkn hao watu warohoni haijalishi wako upande wa Nuru au giza wanaweza wakuona vitu kama hivi so hii tyr ni taa nyekundu kwa alietabiriwa..
  4. _ly

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Mpka sasa ni masaa kama 5 tangia huu uzi upandishwe na una page 2 tu. Lakin siku yatakapotimia haya huu uzi utakimbia sana...
  5. _ly

    Wapi hukuelewa kuhusu movie ya Jumong na Spatacus?

    Nje ya mada kidogo, ni kwann walimbadilisha stering yaani spatacus mwenyewe???
  6. _ly

    Vikao vya ukoo sio kabisa ukiwa huna pesa

    Hata biblia yenyewe imethibitisha hili kwa kisema... Mhubiri 9:16 [16]Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi.
  7. _ly

    Ni ngumu sana kupata mwanamke full package

    Umepata mke mzur namba 2 lkn unajitia kumtaftia kasiro, hizo ni dalili za kuwa wew ni dhaifu na hujui unataka nn kwenye mahusiano..
  8. _ly

    Ushauri kuhusiana na masuala ya mizimu!

    Kwenye uzi kama huu ndio utajua jinsi gani watu ni wachawi!! Huo mnaofanya ni uchawi kbsa hakuna tofauti na anyeenda kwa mganga kufanya tambiko lkn mkiwa huku mtandaon mnabisha kuwa hakuna Mungu wakt nyie mnamiungu. . Ashukuliwe Yesu siguswi na mizim wala miungu ya kafara.. um free as wind..
  9. _ly

    Je, ni vema kukata tamaa baada ya kupoteza $20 kwenye biashara?

    Um a trader. Nachoweza kukushauri ni kuwa knowledge yako kuhus trade(forex) ni ndogo san so kabla hujaendelea mbele rudi upya darasan, tafuta mentor wa uwakika akufundishe soko na zingatia hutojua forex kwa kui_google.... Ni hayo tu.
  10. _ly

    MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Ila watanzania bn..😁😁 eti hivyo hivyo ulivyo unasema unaafya njema?😅 Haya kama una afya njema kwann unaomba msaada?? . Kwakifupi wew nigonjwa kama wagonjwa wengne tu so fuata ushauri kama walivyosema hapo juu, fanya mazoezi, kunywa maji mengi, kula vyakula vzr na matumda kwa wing lkn...
  11. _ly

    Daftari la mauzo linapendeza lakini ukweli ni kwamba hakuna faida. Mzigo niliojumua 3.8M na kuuza 8.2M umenipa faida ya laki 1 tu

    Kiukwel hapo bado upo vzr, biashara nzuri ni ile yenye mzunguko mzuri na sio faida kubwa. Wafanya biashara wengi wanafanya biashara zenye faida ndogo sana lkn wanachojali ni mzunguko mkubwa kwaiyo nakushauri kaa chini jiulize ni vitu gani uvipunguze ili uweze kuongeza faida kwenye biashara yako...
  12. _ly

    Nilipoteza kazi akanikataa, sasa anataka turudiane!

    Acha kumpotosha mwenzio... Kikubwa hapo mtoa mada ushajua tabia yake na ushajua kuwa hana mapenz na ww bali anapenda ulichonacho, kuingia naye kwenye ndoa tegemea kuja kufanyiwa mabaya makubwa zaid ya aliyokufanyia hapo mwanzo...
  13. _ly

    Kila anachosema mwanamke mbele ya mwanaume ni kinyume chake, akisema hampendi Juma jua ni kinyume chake

    Yani kuna mambo meng hapa nayaona juu yako sipati jibu. Najaribu kufikir umri wako ni miaka mingap? Maana kwa akili hizo za kukremisha ulizonazo ni halali mwanamke akushinde... . Pili ulioa malaya unakuja kusema kuwa wanawake wote wapo hivyo... . Niishie kukupa pole tu, hakuna namna ingia "kataa...
  14. _ly

    Kwa mahusiano na mwanaume uliyemzidi Miaka miwili ni taabu

    Shukuru Mungu jamaa kakusitiri tu..😁😁
  15. _ly

    Ushauri: Aliwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango sasa anapata ugumu kushika mimba. Anawezaje kupona tatizo hili? Nitafute mtoto kwingine?

    Ifike mahali utumie utu kwanza kabla ya hisia. Unajua kiukwel kabisa furaha ya ndoa ni nyie wawili watoto ni baraka za ziada tu na wala sio sheria na ndio maana kuna watu ughaibuni wanaoana lkn wanakubaliana kabsa hatutapata watoto na wanaishi vzr kabisa na kwa amani. Ushauri wangu;- pamoja na...
  16. _ly

    Wanawake hamna maajabu, tunatumia pesa nyingi bure!

    naunga mkono hoja. yani unakuta mtu anatuia mpka 500k kisa tu apate "k"
  17. _ly

    Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

    Hii kitu inaukwel ila wachache sana watakuelews..
  18. _ly

    Hakuna mapenzi ya kweli duniani. Wanawake wanaangalia pesa

    Hoa mnasema wanangalia pesa wakishapata hizo pesa wanaenda kuwahonga wanaume wengine wawapenda kiukweli ukweli...
  19. _ly

    Ushuhuda wa ndoa ya wazazi wangu, baba aliachishwa kazi ghafla miaka 14 iliyopita. Mama amekuwa ndio kila kitu

    Mwanamke akikupenda kweli hawez shindwa fanya chochote kwaajili yako. Kumbuka hao hao wanawake unaosema wanapenda pesa huwa wanaenda kuwahonga wanaume wanaowapenda
Back
Top Bottom