Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,647
- 116,610
Ndio braza....au???Unamshtaki kwa kukunyima unyumba?
Ndio braza....au???Unamshtaki kwa kukunyima unyumba?
Mambo mengine ubaki kuwa siri ya ndaniwewe unaweza kuhimili, je na mwenzio??..uwe mpole tuu.....huko uliko vuta kichongeo, chonga kama kawa......na huku kichongeo chako wacha kichonge tuu.......uwe mpole...... hiyo kitu ngumu sana.......sababu unapambania familia ..pambana tuu...
Tuna mitihani sana hapa dunianiKupumpu inatakiwa isioungue mara tatu kwa siku sasa wewe unauliza kuzidisha ndani ya siku ama wiki?
NakaziaTuna mitihani sana hapa duniani