Wapi hukuelewa kuhusu movie ya Jumong na Spatacus?

Je Youngpo ni mjinga?
youngpo hakuwahi kutamani ufalme hapo kabla kwasababu alijua utaratibu ni kaka yange ndie alietakiwa kuridhi ufalme hivyo toka mdogo hakuwai kujiandaa kua mfalme aliinjoi kupiga pesa na madem hivyo sio kwamba ni mjinga japo ukilinganisha na akili ya jumong na taeso youngpo hakuwa na akili kuliko hao wawil ila ni sababu ya makuzi yake
 
Asante jibu zuri. Pia alikua na harakati nyingi za kipimbi.
 
Jumong alikua mvumilivu Sana na mtu mwenye subra na asie kua na papara...

Jumong aliweza kutengeneza team yake ya watu very loyal...

Kuna jamaa mmoja nimemsahau alikuaga mwizi mwizi yeye na jamaa ake bonge ivi wanapiga judo balaa jamaa yule mwembamba aka fall in love akawa CHIZI 😅😅😊😊

Kuna muda taeso,yangpo walikua wabamfanyia vitimbwi wanaishia ku mess up...

Una mkumbuka chef yule wa kutengeneza mapanga😊😊 pia mzee wake na taeso alikua Ni mwerevu Sana na mtu mwenye subra na mzalendo wa dhati..
 
p1 huyo wa mapanga anaitwa mo palmo huyo jamaa mwiz aliitwa oh_yi ambaye baadae ndio aliekua mkuu wa majeshi wa goguryeo
 
Nje ya mada kidogo, ni kwann walimbadilisha stering yaani spatacus mwenyewe???
 
spatacus wa kweny blood and sand alifariki mwaka 2011 wakat blood and sand ilitoka 2010(mwaka mmoja ) hivyo kuwekwa mtu mwingine ila ukiangalia season 2 inavyoanza unajua n yy jinsi anavyokimbia kwa maana alishaanza kuact season 2 kabla hajafariki kwa kansa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom