_ly
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 505
- 1,594
Kwenye uzi kama huu ndio utajua jinsi gani watu ni wachawi!! Huo mnaofanya ni uchawi kbsa hakuna tofauti na anyeenda kwa mganga kufanya tambiko lkn mkiwa huku mtandaon mnabisha kuwa hakuna Mungu wakt nyie mnamiungu.
.
Ashukuliwe Yesu siguswi na mizim wala miungu ya kafara.. um free as wind..
.
Ashukuliwe Yesu siguswi na mizim wala miungu ya kafara.. um free as wind..