Search results

  1. 247

    Mwanamke haeleweki

    Acha kukimbia usimame kwanza ndo uandike Mkuu. Wanawake wengine hawajielewi na hyo ni mmoja wao.
  2. 247

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    [emoji32] Seriously?? Kweli kichwa kidogo kikikasikika kikubwa hakifanyi kazi.
  3. 247

    Sababu zifuatazo zinadhihirisha watanzania sasa wanamwelewa Mh Magufuli

    Viwanda 2500+,[emoji32] au ndo vile vya kufyatua watoto?
  4. 247

    Ukiwekwa Chini ya Ulinzi Yajue Yafuatayo

    Landa ufungue kesi mahakamani.
  5. 247

    Ukiwekwa Chini ya Ulinzi Yajue Yafuatayo

    Kama hizi sheria zipo Bongo sidhani kama askari wetu wanazijua.
  6. 247

    Abiria tuzidishe kelele kumbe dereva anatusikia!

    Lori la kwanza kusafirisha abiria.[emoji32]
  7. 247

    Vitu 5 ambavyo matajiri huvizingatia mno

    Jf sio sehemu nzuri ya kusoma topics ukiwa in public,Wakuu mmenifanya nicheke nionekane kama chizi[emoji52]
  8. 247

    Finally mdogo wa harmorapa kapatikana

    HarmoRapa²
  9. 247

    Roma mkatoliki na Wenzake wameondolewa Polisi Osterbay na kupelekwa Mwananyamala Hospitali

    #Roma mkatoliki na Wenzake wameondolewa Polisi Osterbay na kupelekwa Mwananyamala Hospitali Kuangaliwa afya. Huyo ni wakili wa Roma akiongea muda huu na vyombo vya Habari.
  10. 247

    Msaada, namna ya kufanya data recovery kwenye iphone

    Data unazotaka zipo kwenye mfumo gani? Message ,pictures ,Documents au???? Specific
  11. 247

    Diamond kamuomba Gwajima yaishe

    Naskia eti Kesho ndo atathibitisha kama wale watoto ni wa Mondi au laa. []Copied
  12. 247

    Msaada Jamani, Nataka mawasiliano yangu yawe Recording

    Download Call recorder halafu weka auto record for every call then select folder utakayotaka hizo records zikae Hakikisha unapata call recorder ambayo ipo automatic kwenye kurecord yenyewe.
  13. 247

    Nitajuaje Jinsia ya mtoto kabla ya kuzaliwa?

    Kweli Mkuu mimi napata tabu sana maana nna hamu ya kujua jinsia ya mtoto na kila ninavyo predict predictions zangu znakuja viseversa.
  14. 247

    Nitajuaje Jinsia ya mtoto kabla ya kuzaliwa?

    Habarini wana Jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza napenda kufahamu njia za kutambua jinsia ya mtoto kupitia mama Mjamzito kabla ya kujifungua tofauti na ULTRASOUNDS maana mimba bado ni changa [10 weeks].
  15. 247

    Kuna Msichana kaniandikia kihehe naombeni tafsiri wakuu

    Itakua anaomba hela maana mwishoni hapo Pana neno "hela"
  16. 247

    Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

    Hakuna namna maana ukiongea ukweli utamkosa .
Back
Top Bottom