Kweli Mkuu mimi napata tabu sana maana nna hamu ya kujua jinsia ya mtoto na kila ninavyo predict predictions zangu znakuja viseversa.kimoyo moyo unajua unapenda mtoto wa jinsia gani sasa ukienda kwa huyo "sonografa" akakwambia kuna mtoto tofauti na ulivyokuwa unafikiria...kidogo kuna karaha ya mimba utaipata kama wewe ni mwamume kuna uwezekano ukakimbia majukumu au kumshauri mama aitoe kwanza kwa sababu zisizo na msingi............hii habari ya pink na blue tuwaachie wazungu subiri cha tisa mbona utafurahi tu
Kweli Mkuu mimi napata tabu sana maana nna hamu ya kujua jinsia ya mtoto na kila ninavyo predict predictions zangu znakuja viseversa.
Shukrani mkuuJapo huwa haina uhakika 100% but kwa walio wengi huwa inakua hvo Morning sickness,kuchaguachagua vyakula,kupenda kujigijigi,kujipenda yan mama kijacho unakuta mda wote yupo smart hata kama kabla alkua smart but anazidisha,kunawiri,vyura kutocheza mbali,kupenda vitamvitam mfano kula sana ubuyu wengne wanalamba sukar,kuchukia watoto wa kike,kupendwa na watoto wa kike hizo dalili za babygal japo kwa wengne inaeza kua tofaut na kinyume na hapo ni baby boy pia mijusi kutokucheza mbali kupenda vichachu ni boy.