Abiria tuzidishe kelele kumbe dereva anatusikia!

dah milima ya uporoto umenikumbusha zamani tukienda shule, maisha ya boardin irambo hakuna fashion!
Huo usafiri ulikua wa kisasa wakati wetu wa shule. Madereva wa malori walikua mpaka wanajivuna. Tulikuwa tunageuzwa pamba maana malaria yalikuwa ya mamlaka ya pamba. Hatari kweli..
 
Tusiyasahau maneno ya Mzee wa RUKHSA.

Mwinyi: Nchi sasa inakwenda kama Gari bovu

Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"

Akaongeza "mimi ni dereva mzuri sitakiwi kujali watu wamekaaje na wanaangalia wapi. Nachowaakikishia roli la maendeleo nitalifikisha kwenye maendele"

KUMBE! dereva wetu anasikia? tulidhani amefunga vioo kwa sababu ya upepo na kelele za magari mengine. Au labda kelele zetu zimekuwa nyingi akaweka headphone ili a-concentrate na usukani. Kumbe anasikia?

TUPAZE SAUTI: tumwambie huku nyumba utingo wake wanapoteza abiria kwa kuwashusha kwenye gari na htujui wako wapi? wengine wanashushwa na kurejeshwa wakiwa hoi kwa majeraha. Tumwambie ile amri yake ya kumkosoa dereva mpaka tufike safari tunayokwenda haitekelezeki. Tumwambie kwamba yule KONDA wake mmoja anavamia mabegi ya abiria na kuchukua frash za abiria nk.

Matokeo ya abiria kutopiga kelele dereva alibaki na wale aliyokaa nao mbele amba wanaogopa kupiga kelele, wanaogopa kumshauri na dalili za roli kuanza kuacha njia ziko wazi.
 
Dereva vip na sisi tunaoshukia vituo vya njianiiiiiii. ..sasa si wote tutajikuta stend wakati tulitaka kushuka njiani... Vip nauli za kurud utatupa....
 
Na li sigara kubwa analovuta moshi wake unafika huku nyuma, abiria tunaumiaa!!
Dereva wacha kuvutaa raha yako mateso yetu!!
 
Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"

Akaongeza "mimi ni dereva mzuri sitakiwi kujali watu wamekaaje na wanaangalia wapi. Nachowaakikishia roli la maendeleo nitalifikisha kwenye maendele"

KUMBE! dereva wetu anasikia? tulidhani amefunga vioo kwa sababu ya upepo na kelele za magari mengine. Au labda kelele zetu zimekuwa nyingi akaweka headphone ili a-concentrate na usukani. Kumbe anasikia?

TUPAZE SAUTI: tumwambie huku nyumba utingo wake wanapoteza abiria kwa kuwashusha kwenye gari na htujui wako wapi? wengine wanashushwa na kurejeshwa wakiwa hoi kwa majeraha. Tumwambie ile amri yake ya kumkosoa dereva mpaka tufike safari tunayokwenda haitekelezeki. Tumwambie kwamba yule KONDA wake mmoja anavamia mabegi ya abiria na kuchukua frash za abiria nk.

Matokeo ya abiria kutopiga kelele dereva alibaki na wale aliyokaa nao mbele amba wanaogopa kupiga kelele, wanaogopa kumshauri na dalili za roli kuanza kuacha njia ziko wazi.
We una mawazo mazuri kweli ya kukosoa ili mabaya yaachwe na mazuri yazingatiwe.Wenzako hawako huko.Wanapiga kelele ili Dereva achanganyikiwe,Lori liache njia.Wao wanataka aharibikiwe ili watafute Dereva mwingine wanaomtaka wao 2020.Wengine wamnataka Lowassa.Jaman Lowassa ataweza kuwa Dereva mzuri?
 
Cna cha kuongeza,asanteni sana wananchi wenzangu kwa nguvu,ukweli na mshikamano, mlivyo vionyesha ktk kumkemea mtec wetu.tuzidi kupiga makelele na kumuomba sn Mungu, ilikichaa chake akiwa anaendesha lori lake bovu,kicpande zaidi,akatumaliza ! mbarikiwe sn wote,umoja ni nguvu. Nimepanda sn mlivyo react,kwa ushirikiano mkubwa sn,Amen
 
Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"

Akaongeza "mimi ni dereva mzuri sitakiwi kujali watu wamekaaje na wanaangalia wapi. Nachowaakikishia roli la maendeleo nitalifikisha kwenye maendele"

KUMBE! dereva wetu anasikia? tulidhani amefunga vioo kwa sababu ya upepo na kelele za magari mengine. Au labda kelele zetu zimekuwa nyingi akaweka headphone ili a-concentrate na usukani. Kumbe anasikia?

TUPAZE SAUTI: tumwambie huku nyumba utingo wake wanapoteza abiria kwa kuwashusha kwenye gari na htujui wako wapi? wengine wanashushwa na kurejeshwa wakiwa hoi kwa majeraha. Tumwambie ile amri yake ya kumkosoa dereva mpaka tufike safari tunayokwenda haitekelezeki. Tumwambie kwamba yule KONDA wake mmoja anavamia mabegi ya abiria na kuchukua frash za abiria nk.

Matokeo ya abiria kutopiga kelele dereva alibaki na wale aliyokaa nao mbele amba wanaogopa kupiga kelele, wanaogopa kumshauri na dalili za roli kuanza kuacha njia ziko wazi.

Hizi kelele zamsumbua sanaaaaaaaaaaaa. Hawezi hata kunywa maji wala kulala. Udhibitisho wa faida za kelele ni huu hapa
  • Aliruhusu kuachiwa kwa Ney, mwananuziki aliyetekwa.
  • Hivi majuzi kamuamrisha Bashite kumwachia Roma Mkatoliki.
  • Kaenda kumba pesa Ulaya, na kusaini mkopo wa masherti ikiwa pamoja na la kutovibana vyombo vya habari. (sasa yule malaika aliyemsubiri kuja kuvifunga vyombo vya habari atatenguaje hilo sherti.
  • Katengua maelekezo ya kutokuoana mpaka mtu awe na cheti cha kuzaliwa.
  • Kelele za kutoagiza sukari nje hazipo tena na sukari yaagizwa nje.
  • Kelele za kulaumu serikali iliyopita kazifunga.
  • Kamchagua mama Kikwete kuwa mbunge ili apunguze kelele za wana Dar, baada ya kelele za Bashite.
  • ...........We endelea tu kuzitaja............
 
kwanza anaonekana hajui sheria ilishakatazwa kubeba watu kwenye malori, hivyo anapaswa kuachia usukani mara moja,
ananikumbusha ule wimbo dereva kalewa gongo haaaaa hiyo si sawa dereva acha vituko..
halafu ujifikirie....! Malori hayabebi abiria kweli kwenda minadani!? Huko vijijini...wangapi wanakwepa fuso wakati wa mnada, gurio, soko ufikapo? Ujumbe uliwalenga walio wengi!
 
Kwa usafiri huu wa Lori .tujipange sijui kama tutafika salama. Maana halina hata turubai la kufunika abiria wake.
 
kwanza anaonekana hajui sheria ilishakatazwa kubeba watu kwenye malori, hivyo anapaswa kuachia usukani mara moja,
ananikumbusha ule wimbo dereva kalewa gongo haaaaa hiyo si sawa dereva acha vituko..

Lori la Maendeleo lenye Dereva mwny Phd ni Ruksa, Marufuku ni kwa Malori ya ngada na viroba yanayoendeshwa na Madereva Mafisadi wanaopiga Nyoka Mafuta ya Lori hata kabla halijaanza Safari!
 
Dereva hutaki kutusikiliza abiria sawa, ila jua unatuangushia mtoni. Huyo konda wako unayemsikiliza, wala hana anachojua tuendako. Ila dereva katika magari yote umetupakia kwenye roli? Ndiyo maana safari iko hivi.

#derevajinajipyalasizonje#
 
Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"

Akaongeza "mimi ni dereva mzuri sitakiwi kujali watu wamekaaje na wanaangalia wapi. Nachowaakikishia roli la maendeleo nitalifikisha kwenye maendele"

KUMBE! dereva wetu anasikia? tulidhani amefunga vioo kwa sababu ya upepo na kelele za magari mengine. Au labda kelele zetu zimekuwa nyingi akaweka headphone ili a-concentrate na usukani. Kumbe anasikia?

TUPAZE SAUTI: tumwambie huku nyumba utingo wake wanapoteza abiria kwa kuwashusha kwenye gari na htujui wako wapi? wengine wanashushwa na kurejeshwa wakiwa hoi kwa majeraha. Tumwambie ile amri yake ya kumkosoa dereva mpaka tufike safari tunayokwenda haitekelezeki. Tumwambie kwamba yule KONDA wake mmoja anavamia mabegi ya abiria na kuchukua frash za abiria nk.

Matokeo ya abiria kutopiga kelele dereva alibaki na wale aliyokaa nao mbele amba wanaogopa kupiga kelele, wanaogopa kumshauri na dalili za roli kuanza kuacha njia ziko wazi.
Amesema hasikilizi kelele za abiria yeye kazi yake kufikisha lori.wewe piga kelele mpaka koo lipasuke mwenzako hageuki wala kupunguza mwendo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom