Nitajuaje Jinsia ya mtoto kabla ya kuzaliwa?

247

Senior Member
Mar 29, 2016
188
197
Habarini wana Jf.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza napenda kufahamu njia za kutambua jinsia ya mtoto kupitia mama Mjamzito kabla ya kujifungua tofauti na
ULTRASOUNDS maana mimba bado ni changa [10 weeks].
 
kimoyo moyo unajua unapenda mtoto wa jinsia gani sasa ukienda kwa huyo "sonografa" akakwambia kuna mtoto tofauti na ulivyokuwa unafikiria...kidogo kuna karaha ya mimba utaipata kama wewe ni mwamume kuna uwezekano ukakimbia majukumu au kumshauri mama aitoe kwanza kwa sababu zisizo na msingi............hii habari ya pink na blue tuwaachie wazungu subiri cha tisa mbona utafurahi tu
 
Kweli Mkuu mimi napata tabu sana maana nna hamu ya kujua jinsia ya mtoto na kila ninavyo predict predictions zangu znakuja viseversa.
 
ushauri wangu subiri tu Mungu atakupa mtoto umpendaye......raha ya siku hizi jinsia zote zina fursa!!
 
Japo huwa haina uhakika 100% but kwa walio wengi huwa inakua hvo Morning sickness,kuchaguachagua vyakula,kupenda kujigijigi,kujipenda yan mama kijacho unakuta mda wote yupo smart hata kama kabla alkua smart but anazidisha,kunawiri,vyura kutocheza mbali,kupenda vitamvitam mfano kula sana ubuyu wengne wanalamba sukar,kuchukia watoto wa kike,kupendwa na watoto wa kike hizo dalili za babygal japo kwa wengne inaeza kua tofaut na kinyume na hapo ni baby boy pia mijusi kutokucheza mbali kupenda vichachu ni boy.
 
  • Thanks
Reactions: 247

Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom