Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

Kuna jamaa yangu ni choka mbaya tu,ana maneno matam sana yule na huwa hashindwi,
Now ana dem ana mtoto,mtoto yupo na mama kwakua dem anajua jamaa choka mbaya wala hamsumbui,jamaa akipata anapeleka.Dem anamhudumia mwanae fresh na anampenda jamaa,
That guy anajua kuimbisha
Yeah hivyo ndo inatakiwa ,mwanaume kuonyesha ujasiri na uhalisia wa maisha yake,utakuta wengine kuongea hawajui kwa mademu afu pia uhalisia wa maisha yao wanaficha ,,mwanaume rijali anajiamini ,kwanza anajua kupanga maneno akiwa na mwanmke na vilevile anajiamini na hali ya kimaisha aliyonayo
 
Show her reality, u will win her
Panga maneno fresh,wanawake watu wa doubt ila huziclear wenyewe kila wanapowaza
 
86d97d626f5453cbb78f9c6f20e93a95.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom