Search results

  1. kubwa_Lao

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sanaaa inafundishwa pale chuo cha Sanaa bagamoyo
  2. kubwa_Lao

    Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Mwenye ule wimbo wa 20% wa "Moyo" akamsikilizishe kijana wetu sabaya maana hakuna namna tena
  3. kubwa_Lao

    Naombeni notes za eletrical instullation leve 2

    Unataka za kiswahili au za kimombo?
  4. kubwa_Lao

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ubaguzi sio sifa ya Allah
  5. kubwa_Lao

    Natafuta gari aina ya funcargo!!

    Daah, wadau mmenipa ngumu nyingi sana za usoni...... Anyway ni kweli FunCargo ina sura nzuri ingawa wengine mnaona mbaya. Uzuri na ubaya uko machoni pa mtazamaji. Naomba mnisaidie kiufundi zaidi kuliko kimuonekano.
  6. kubwa_Lao

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kabisa kuvuka barabara
  7. kubwa_Lao

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Hapana Zungu ni Ilala Azan kinondoni. Ila kinondoni nasikia tarimba kachukua kitu
  8. kubwa_Lao

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Daladala siku hizi ni level sit
  9. kubwa_Lao

    Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

    Mkuu Ushirombo nipatie namba ya simu
  10. kubwa_Lao

    Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

    Wakuu wapi nitapata hii bio enzyme kwa hapa kariakoo
  11. kubwa_Lao

    Hadi sasa wageni 182 wamegunduliwa na Corona kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya. Visa vyafikia 963

    Sisi wooote waTz tuna Corona, nyie waKenya hamna kabisa hiyo Corona...... Tumefunga mpaka wetu ili tuwalinde nyie huko msipate Corona, Sasa kelele mnapiga za nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kubwa_Lao

    CS Mohammed: At Namanga every day crosses 120 trucks from Tanzania vs 30 from Kenya

    Walete Darisalama.... Nae aache upuuzi wake huo. Ye anawaza tumbo lake na familia yake. Magu anawanyoosha kwa faida ya wengi. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kubwa_Lao

    News Alert: Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

    Wakati wote mtu hautakiwi kuwa mnyonge kwenye nchi yako! Nchi hii huru na tunajitegemea, Wakenya wasijione wao bora ktk angle yoyote ile! Kulinda UHURU na UTU wetu ni gharama, hivyo tusiogope gharama tukauza utu wetu! Funga mpaka hadi watakapoeleza walifunga mpaka wao kwasababu gani! Ni UJINGA...
  14. kubwa_Lao

    Mbunge Lijualikali alia bungeni kwa unyanyasaji anaofanyiwa na Mbowe ajiuzulu ubunge amuomba Ndugai CCM wampokee

    Yaani kwa CDM ya sasa... Hata tume iwe huru na kura zihesabiwe uwanjani kweupee CCM itashinda kwa ushindi mkubwa sana maana hali ya CDM ya sasa sio ile yenye umoja na nguvu kama ya mwishoni mwa mwaka 2014 CDM ya sasa imechanika chanika mno Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kubwa_Lao

    Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

    Ili tangazo lako litokelezee weka na kajipicha basi ka kusindikizia tangazo lako ni muhimu mno.... Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kubwa_Lao

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wadau mwenye wimbo wa bob rudala..... Jina siujui ila una maneno ".....asante kwa kunizalia mtoto.... Atatusaidia sisi wazazi wake......" Mwenye nao tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kubwa_Lao

    Floyd Mayweather ampiku Muhammad Ally

    Mmmh, kwanza Kipindi M. Ally akipigana na kushika rekodi zake zote ni wazi kua hao waliondaa hiyo list na mpk huyo 'Maiweza' hawakuwahi kuona pambano lake hata moja teeena walikua wananing'inia ktk ken**de za baba zao. Sasa haka kalist nakaona kama kana hila tu
Back
Top Bottom