Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

Wakuu wapi nitapata hii bio enzyme kwa hapa kariakoo
Screenshot_20200619-091945_1592559924955.jpg
 
watu wanaulizia mashimo ya kawaida, lakini hamna hata mmoja aliyeweza kuonyesha yanagharimu kiasi gani. sasa inaonekana watu hawana ABC ya ujenzi lakini wana comment tuu, saa nyingine uzi unakosa ladha
 
Karibuni watu wa Mwanza, tunaweza kufanya bei ya ofa 2.2mil kipindi hiki kuanzia leo kwa siku 30 tupo hapa, kama mtataka kuona karibu sehemu inaitwa Mawe matatu Usagara
 
Ya nmb imeishahiyo, hapo kila kitu ni chini ya ardhi na juu anything can be done
IMG-20200626-WA0070.jpeg
IMG-20200626-WA0057.jpeg
 

Attachments

  • IMG-20200626-WA0060.jpeg
    IMG-20200626-WA0060.jpeg
    92 KB · Views: 3
Salama mkuu? Mimi Niko Misungwi nahitaji hii huduma, japo nitaomba tuyajenge vizuri kwenye bei
 
Kwa sasa tunauza enzymes pia kwa wale wanaosumbuliwa na kujaa kwa septic tanks
 
Specification:
Kama una shimo linalosumbua lenye size upana <1.5 na length <2.5 unatumia 100g ambayo tunauza 380,000 baada ya hapo unasahau kabisa habari za kunyonya uchafu.Karibuni
 
Back
Top Bottom