Search results

  1. Slave

    TRA wapeni moyo wajasiriamali wadogo

    Habari wana jamii Kwakweli jambo ambalo tunapaswa kujivunia watanzania ni jambo hili la ukusanyaji kodi. Wananchi wengi wameitikia na kuunga mkono juhudi za serikali na muda si mrefu matunda tutaanza kuyaona. Lakini pamoja na mafanikio haya ningeomba viongozi na watendaji wa serikali wajaribu...
  2. Slave

    Siri ya usiku na mafanikio yake

    WAKUU HESHIMA KWENU. naandika uzi huu mida hii ni usiku wa manane usinginzi umekata kabisa jambo ambalo limenifanya nianze kujiuliza kusuhu umuhimu wa usiku na faida zake. inawezekana mchana pia una faida ila haziwezi kuzifikia faida za usiku usiku ukitumiwa vizuri unaweza leta maendeleo...
  3. Slave

    PAYPAL

    wakuu salamun Naombeni mnisaidie jambo moja kuhusu PayPal, nilikuwa najisajili lakini nikajikuta nimeandika jina LA mkoa badala ya jina LA wilaya inamaana Kama nitanunua chochote basi kitatumwa mkoani Na sio wilayani,katika kutafuta njia ya kuedit nikagundua kuna ugumu kidogo kuedit primary...
  4. Slave

    Mbinu kwa mafundi simu

    GSM-Forum kuna mtu kuna mtu humu ni fundi wa simu ama anajishugulisha kwa namna yeyote kutoa solution kwa msaada wa google au youtube basi ajitahidi kutunza hizo mbinu kwani muda si mrefu huenda solution zote zilizopo online huenda zikafutwa
  5. Slave

    Wazee wenzangu na vijana pokeeni salam Za 2017

    Popote ulipo pokea salam zangu za funga mwaka dada zangu Arabela charming lady FaizaFoxy Eveline Thomas Evelyn Salt Baba V Na wanao woote daah mkuu Watu8 Kitambo Sana kaka nakuombea mwaka uuanze vizuri Bila kuwasahau wakongwe wa MMU woote nawatakia mwaka Mpya.
  6. Slave

    jamii tv unasababisha usumbufu

    Kwenu wataalamu wetu fanyieni kazi hilo jamii TV sijajua kama ni Mimi tu au ni wote,tatizo linalonikuta Mimi ni pale TV inapo kuwa ipo offline yaani kuna errors zinajitokeza yaani hata button ya Ku rudi inakuwa haikubari wala ile option ya Ku cerat new thread haionekani Pop up za errors kibao...
  7. Slave

    wana wa moshi nikaribisheni jamani

    Mpaka sasa sijaona mtu wa kunikaribisha mtori,ndaff, Na mbege Embu mnikirimu jamani
  8. Slave

    Unaweza kujilinda kwa kutumia akili, macho, na masikio

    Habari wakuu natumai mpo sawa na majukumu yanasonga nafsi yangu inanisukuma kuandika jambo ambalo pengine akitokea mwandishi mzuri linaweza kutusaidia sana Mwili unahitaji ulinzi 24 hrs ndio maana kuna baadhi baadhi ya viungo mungu kaviweka na sio kwa lingine ila ni kulinda eneo husika mfano...
  9. Slave

    Msaada: Whatsapp na play store imegoma

    Wakuu habari za Leo Kama ilivyo kawaida ya jukwaa hili ni kusaidiana kutatua na kuelekezana katika katika mambo yote yanayo husu TEHAMA Kama kichwa kisemavyo sijui nini kimetokea ila mpaka sasa whatsapp hata play store hazifunguki Msaada Pls
  10. Slave

    Baada ya tendo, tumbo huuma!

    Habari za Leo madaktari, Mke wangu tukimaliza tendo huumwa na tumbo linalo ambatana na kichefuchefu na uchovu wa mwili ni miaka miwili tangu tuoane nimekwisha mpeleka hospital sana na hupewa dawa lakini tatizo bado lipo. Juzi tumeenda tena tukaambiwa inabidi asafishwe sasa nikaona kabla...
  11. Slave

    Nawezaje kuona yasiyoonekana kwa macho ya kawaida?

    Kuna watu wengi husema eti kuna baadhi ya waganga huwa wanaweza kukuonyesha tv asili na ukaona picha kama kuna mtu alikufanyia ubaya ukamuoa live mie nimejaribu kupita kwa hao waganga wanao aminiwa kwa kuonyesha tv hizo lakini sijawahi kuona lolote mpaka waganga wanashangaa kwanini sioni sasa je...
  12. Slave

    Kwanini binaadamu akifa hubebewa cloves?

    Jana wakati nasafiri kuelekea mwanza tulifika maeneo ya usagala tukakuta kuna kundi kubwa la watu,watu hao walikuwa wanashangaa tukio la wafungwa walio ruka kutoka katika gari la polisi mmoja aalikufa hapo hapo wengine wawili waliumia vibaya sana,wale walio umia walibebwa kawaida tu ila yule...
  13. Slave

    Natoa amri nikiwa kama bos wa rais na wabunge natakaa wafanye haya yafuatayo

    1.Majukwa yoote ya Jamiiforums yafungwe isipo kuwa hili la Chit chat. 2.Member wawe na uhuru wa kugombea nafasi ya u admin au u mode. 3.Kwa kuwa haki sawa kwa wote ipo basi wanaume wasioe tena na badala yake wanawake ndio wawaoe wanaume na watoe mahali kama kawaida. 4.
  14. Slave

    Rais ajae aige baadhi ya mbinu za nyerere

    1.wahujumu uchumi wote wafirisiwe. 2.asiwe na mali nyingi kama walivyo hawa marais waliopita. 3.asijitukuze na kujipa u mungu mtu. 4. 5...
  15. Slave

    Utendaji wa Magufuli na mfano wa msichana wa kazi

    Kuna wanaume wengi sana walio wahi kuoa wasichana wao wa kazi (house girl) sio kwamba wanaume hao wanaamua kuwaoa wafanyakazi wao wa ndani bila sababu, sababu kubwa kabisa huwa ni kuvutiwa kwa uchapa kazi wao, utiifu nidham na heshima ambazo huonyesha mbele ya mabosi wao. Unakuta mfanyakazi...
  16. Slave

    Najiuliza, hivi ni kweli magaidi hawajulikani?

    Inaawezekana kabisa hawajulikani,ninajiuliza maswali mengi sana lakini sipati jibu,1 hizo Zana za kivita wanatoa wapi? Wananunua au wanapora? Kama wanapora huwa wanajuaje kuwa kuna mzigo WA silaha zinazosafirishwa au kuna watu wao wapo huko kwenye vyanzo ? 2.hapo zamani niliwahi kusikia...
  17. Slave

    Wakuu msaada tutani

    Habari za hapa jamaa, Natumai tupo poa kwa uwezo WA mungu,ama baada ya salam napenda kufikisha ombi langu kwenu. Nina computer ambayo ndio kitendea kazi changu imenigomea kabisa Ku-install baadhi ya tools inaonyesha kuna upungufu wa ki support kimepungua kwani inaleta msg WINUSB. DLL NOT...
  18. Slave

    Natafuta mediatek USB Vcom drivers

    Habari za Leo wakuu ninatafuta driver ya mediatek usb Vcom kwa ajili ya huawei y330-u11 nimejaribu kuidownload kupitia drivermax ikagoma kwakuwa drivermax wanauza.kama kuna yeyote mwenye drivers downloader naomba anisaidie assnteni
  19. Slave

    Nimekuwa kama mgeni

    Habari za hapa wapendwa wana chit-chat. Ni ukweli kabisa kuwa niliwakumbuka ile mbaya ila majukumu ya moja na mbili ndo kikawa kikwazo. najua kabisa nanyi mlinikumbuka mean tulikumbukana,basi ambao mlinikumbuka njooni hapa tupeane mikono ya kheri Wakati naendelea kukumbuka zaidi basi niwape...
Back
Top Bottom