Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Habari za hapa jamaa, Natumai tupo poa kwa uwezo WA mungu,ama baada ya salam napenda kufikisha ombi langu kwenu.
Nina computer ambayo ndio kitendea kazi changu imenigomea kabisa Ku-install baadhi ya tools inaonyesha kuna upungufu wa ki support kimepungua kwani inaleta msg WINUSB.
DLL NOT FOUND kupitia Google nimejaribu kutafuta hicho kidude nika copy na kukipaste system32 lakini bado hapo nimefuata maelekezo vizuri kabisa.
Kutokana na maelezo ya wataalam huko google inaonyesha computer imeshambuliwa na kirusi trojen pamoja na ku scan lakini bado tu, nipeni msaada jamani kufomati pia sitaki coz nitapoteza mzigo wangu.