Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Habari wana jamii
Kwakweli jambo ambalo tunapaswa kujivunia watanzania ni jambo hili la ukusanyaji kodi.
Wananchi wengi wameitikia na kuunga mkono juhudi za serikali na muda si mrefu matunda tutaanza kuyaona.
Lakini pamoja na mafanikio haya ningeomba viongozi na watendaji wa serikali wajaribu kufanya utafiti mitaani kuona ni vipi watu wenye mitaji na mapato madogo wanavyo pigana kufa kupona kuhakikisha wanapata mkate wao wa kila siku...
Utafiti huo watakao ufanya kitu cha kwanza wazingatie mahitaji muhimu ya mtu anaetakiwa kulipa kodi maana kuna watu wapo maisha yao tu yanahitaji garama kubwa sana
Ninapo sema maisha yao yanahitaji garama kubwa namaanisha kuna watu ambao wana magonjwa ya kudumu ambayo kila mwezi anatakiwa afunge kibanda chake kwenda kutibiwa au kuchekiwa afya na maendeleo ya afya yake
Jambo ambalo linasababisha kusimama kwa shughuli zake japo mahitaji ya familia pamoja na yeye mwenyewe yanakuwa pale pale,
Pia watafiti wachunguze sababu ambazo zimewafanya baadhi kushindwa kuendekea na biashara zao ndogo ndogo ikiwa ni pamoja na kufunga maduka na kurudisha vyumba kwa wenye nyumba.
Hivyo wasomi wetu ambao wamepewa dhamana ya kukusanya kodi wapeni moyo wafanya biashara ndogo ndogo kama salon Ili watanue mitaji yao ili waje kuwa walipa kodi wazuri lakini pia mitindo ambayo TRA mnatumia kukadilia ni vizuri mtakuwa mnachukua kodi kutoka kwenye faida baada ya kutolewa garama zote za uendeshaji wa biashara,kula pango nyumbani na kazini,usafiri matibabu NK.
TULIPENI KODI KWA MAENDELEO YA TAIFA
ASANTENI KWA KUNISOMA