Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
WAKUU HESHIMA KWENU.
naandika uzi huu mida hii ni usiku wa manane usinginzi umekata kabisa jambo ambalo limenifanya nianze kujiuliza kusuhu umuhimu wa usiku na faida zake.
inawezekana mchana pia una faida ila haziwezi kuzifikia faida za usiku
usiku ukitumiwa vizuri unaweza leta maendeleo makubwa tofauti na mchana.
nitataja baadhi ya faida za na mafanikio yanayopatikana usiku, kuna dhana kuwa wachawi ili wafanikiwe kwa 80% hutakiwa kufanya kazi zao usiku tofauti na mchana mshana jr atatufafanulia hapo.
naendelea kutetea hoja yangu kuwa usiku ni bora kuliko mchana kwa kutoa mfano. kutokana na joto linalopatikana mchana kuna vitu vingi huharibika tofauti na vile vinavyoharibika usiku kitu chchote kikiachwa juani muda mrefu huharibika haraka
kuna kazi nyingi sana hapa kwetu tanzania ambazo zilishindikana kabisa kufanywa mchana ila zilipofanywa usiku zilifanikiwa mfano daraja mto kirumi njia ya tarime.
inawezekana kabisa kuwa binaadamu tumeumbiwa mchana na usiku kama fumbo la jehanam na peponi lakini binaadamu tumependa zaidi kujichanganya mchana (motoni)kuliko usiku (peponi)
wachina inasemekana enzi za mao walifanya kazi mchana na usiku na usiku ndio uliwaletea mafanikio zaidi kuliko mchana.
~~TAMATI~~
kuna umuhimu wa kufanya kazi usiku na mchana kwa ustawi wa nchi yetu
KUNA FAIDA NYINGI SANA ZA USIKU KUWA NI BORA ZAIDI KULIKO MCHANA WEWE UNASEMAJE ??