All Alumni, Staff, Students, Friends and Well Wishers of the University of Dar es Salaam are urged to participate in the 2013 Rotary Dar Marathon on Nyerere Day, Monday, 14 October. The events starts and ends at Police Officers Mess -- 21.1km marathon starts at 6am and 9km walk starts at 7am...
All Alumni, Staff, Students, Friends and Well Wishers of the University of Dar es Salaam are urged to participate in the 2013 Rotary Dar Marathon on Nyerere Day, Monday, 14 October. The events starts and ends at Police Officers Mess -- 21.1km marathon starts at 6am and 9km walk starts at 7am...
Kwanini Serikali inakuwa nzito sana kusilikiliza mahitaji ya wasomi wetu wa baadae? Sasaivi ni siku ya ngapi tangu Chuo Kikuu waanze kuandamana, na bodi ya mikopo imekaa kimya, sasa mnataka wafanye nini ili mjue kwamba wako siriazi?
Kwanini mnakuwa wazito ku-address mahitaji yao ndani ya...
UBUNGOUBUNGO tunaomba upunguze jazba kisha ujibu hoja ya Baba_Enock. Ukijibu kwa hasira sana, mtaishia kutukanana na kututoa nje ya mstari. Tafadhali eleza mambo kwa kinagaubaga kama alivyofanya MATAMBO na wengine hapo juu.
Mama Nyoni ni kati ya watendaji wa serikali wanaoheshimika sana...
Soma hizi habari tatu kwa makini, kisha naomba maoni yako:-
"Wabunge wa Chadema walikataa bungeni Pinda asiwe Waziri Mkuu na pia chama hicho hakimtambui Jakaya Kikwete kuwa ni Rais halali wa Tanzania. "
(Source: HABARI LEO HabariLeo | Wabunge Chadema wasusa
"SIKU mbili baada ya Mbunge wa...
Duh ndugu, hiyo habari ya legelege kuajiri legelege kama unao ushaidi wa kutosha basi taifa lishaingia doa. Manake wakati nasoma hii thread yako nimeshtuka hadi nikaskia nywele zinataka kusimama.
Bila kusahau naomba turushie huo uchambuzi wa "successful incompetence" manake japo sijauona...
Inasikitisha sana kuona website ya tume ya uchaguzi inakosa matokeo rasmi ya uchaguzi licha ya maafisa mbalimbali wa tume hiyo kuyatangaza rasmi matokeo ya majimbo mbalimbali.
Wakati nafungua tovuti hii nilitengemea kukuta ukurasa wa 'Live Results' matokeo yake nimekosa hata wa 'Yesterday...
Ushindi wa Mr. II unadhihirishia watanzania kuwa haki ya mtu haipotei na ikipotea ikatafutwa hupatikana. Hongera sana Sugu kwa kusaka haki yako hadi kimeeleweka. Walikupokonya kinjiwa sasa umepewa tembo mzima.
Is it right time to say the future of Tanzania is on the hands of NEC? Uchaguzi Mkuu ni kila baada ya miaka mitano, hivyo NEC ilikuwa na muda wa kutosha kujiandaa kuendesha zoezi la uhesabuji kura bila ya malalamiko yasiyokuwa ya lazima(without unnecessary complains). Pia NEC ilikuwa na muda wa...
Kiuchumi kushuka kwa bei za bidhaa mbalimbali kunawezekana, nadhani Lipumba akiwa kama mchumi analielewa hili vizuri sema tuu labda alipitiwa au alikuwa na maana ya tofauti au alikosa muda wa kulielezea kwa kinagaubaga pale alipohoji hoja ya Dr. Slaa kuhusu kushusha bei. Kiuchumi ni wazi kabisa...
Mimi naona yafuatayo,
1. Kuhusu kuponda vyama vingine. kweli hapa Prof alichemsha. Alipaswa kutumia muda zaidi kwenye kunadi sera za chama chake na sio kukosoa sera za vyama vingine. Suala la kukosoa vyama ni la mpiga kura sio la mgombea. Mpiga kura ndio anapaswa kuamua nani zaidi. Watanzania...
Ni ujinga kumpigia kura mgombea wa chama fulani kwa vile umeona mahudhurio makubwa kwenye mkutano wake. Watu wanaenda kwenye mikutano ya siasa kwa malengo tofauti. Wengine wanaenda kumsanifu mgombea, wengine kumtega na maswali, wengine kukopi uhodari wake wa kutoa hotuba, wengine kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.