Usifuate Mkumbo katika kuchagua kiongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usifuate Mkumbo katika kuchagua kiongozi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mashayo, Oct 29, 2010.

 1. M

  Mashayo Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Ni ujinga kumpigia kura mgombea wa chama fulani kwa vile umeona mahudhurio makubwa kwenye mkutano wake. Watu wanaenda kwenye mikutano ya siasa kwa malengo tofauti. Wengine wanaenda kumsanifu mgombea, wengine kumtega na maswali, wengine kukopi uhodari wake wa kutoa hotuba, wengine kwa ajili ya utafiti (field research), wengine kupiga picha, wengine kuchukua habari na kadhalika.

  Pia usishangae kukuta wengine wako kwenye mikutano ya siasa kwa ajili tuu ya kuridhisha (to satisfy) mfadhili, bosi, kiongozi wa dini, mwalimu, mazazi na kadhalika.

  Hivyo basi, ni ukatumia busara zako binafsi na uhuru ulionao kumchagua kiongozi ambaye unaamini anafaa zaidi kuchaguliwa kwa maslahi ya taifa kwa ujumla.
   

  Attached Files:

 2. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2013
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Mkumbo wa mapande ya nyama

  mkumbo toka kwa walionufaika na M/tiGo pesa
   
Loading...