Is it right time to say the future of Tanzania is on the hands of NEC?


M

Mashayo

Member
Joined
May 29, 2007
Messages
22
Likes
0
Points
0
M

Mashayo

Member
Joined May 29, 2007
22 0 0
Is it right time to say the future of Tanzania is on the hands of NEC? Uchaguzi Mkuu ni kila baada ya miaka mitano, hivyo NEC ilikuwa na muda wa kutosha kujiandaa kuendesha zoezi la uhesabuji kura bila ya malalamiko yasiyokuwa ya lazima(without unnecessary complains). Pia NEC ilikuwa na muda wa kutosha kujifunza kwa matokeo ya uzembe uliofanywaga na wenzao huko Kenya na Zimbabwe miaka ya nyuma.
 

Forum statistics

Threads 1,252,297
Members 482,076
Posts 29,802,983