Search results

  1. coscated

    Anything to learn from Rugemarila Mutahaba?, let's talk...

    Unamzungumzia Pablo Escobar sio? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. coscated

    Msaada namna ya ku lock torch ya simu

    Wakuu naomba mwenye kujua app ya android itakayoniwezesha ku lock torch ya simu ili kuzuia tochi hiyo kuwaka kwa bahati mbaya (mara nyingi hutokea wakati simu ikiwa sikioni ) Sent using Jamii Forums mobile app
  3. coscated

    Tunataka tuwe na taifa lisiloamini katika kutofautiana kwa mitizamo?

    Wengi wetu tutakua tunamfahamu au kumsikia Marehemu Oscar Kambona japo najua kuna wachache ndio watakua wanamsikia leo, huyu ni miongoni mwa watu watu wa awali kabisa kutofauriana na 'mwalimu' kutokana na kupingana na azimio la Arusha. Tofauti hizo zilisababisha Oscar Kambona kukimbilia...
  4. coscated

    Sheria ya Tanzania inaruhusu kuwa na wanajeshi binafsi ‘mercenaries'?

    Nimekua nikitizama movie series za kimarekani (mathalani ukichukulia mfano movie kama 24 ya Kieffer Sutherland almaarufu Jack Bauer, au Shooter ya Bob Lee Swagger). Unakuta kuna kikundi flani cha raia ambao wanakua wamepewa mafunzo ya kijeshi na wanakodiwa kwa ajili ya kutimiza mission tofauti...
  5. coscated

    Msaada kuhusu Historia ya Wafilisti

    Naomba mwenye kujua historia ya watu niliowasoma kwenye maandiko ya kale kama wafilisti, je ndio wa palestina wa leo au? Pia ningependa kujua wale wafarisayo na wasadukayo ndio watu gani katika hii dunia tuliyopo leo? Mwenye ufahamu anisaidie ufafanuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. coscated

    Nini athari ya kamari na betting kiuchumi?

    Ukifuatilia hii michezo ya kamari mathalani hizi za mitaani utaona kua hakuna uzalishaji wa aina yoyote isipokua kuhamisha pesa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, je kiuchumi kamari pamoja na michezo ya ku bet ina faida na hasara gani? Wadau naomba tujadili.
  7. coscated

    Msaada wa kufungua .rar file/folder kwenye Pc

    Kuna file nimedownload ila ipo kwenye rar fomat na imekataa kufunguka kwenye computer yangu, naomba mwenye ujuzi anisaidie please natumia window 7.
  8. coscated

    Jaffarai na Shy-Rose na Kuheshimiana baada ya kuachana

    kwenye facebook page ya jaffarai inasema: NIMEAMUA KUACHANA NA ALIEKUA MPENZI WANGU KWA TAKRIBAN MIAKA 8 SHYROSE BHANJI..
  9. coscated

    Aibu hizi mpaka lini TFF? Kibao cha kufanyia mabadiliko ni gharama kiasi gani?!

    Hivi TFF itaendelea kufuga hizi aibu na fedheha mpaka lini? Kwa mfano jana kuna mechi moja ya ligi kuu ilichezwa na hapakuwa na kibao cha kufanyia mabadiliko zaidi ya kutumia makaratasi ya kawaida. Jamani hili limekaaje? Na je kile kibao ni cha gharama kiasi gani? Naomba michango yenu wanajamii...
  10. coscated

    Msaada namna ya kujiondoa kwenye Twitter.

    jamani naomba msaada wa jinsi ya kujitoa/kuifunga au ku deactivate akaunti yangu ya twitter.
  11. coscated

    Nahitaji Msaada wa kupata web browser ya sony ericsson.

    Nina simu aina ya sony ericsson w595 inatumia files zenye jar format. Tatizo kubwa linalonikabili ni kwamba kila nikitumia opera mini (4 au 5) inafikia kipindi hiyo opera inagoma kufanya kazi mpaka niinstall tena nyingine ambayo pia inaweza kunigomea kufunguka. Hivyo basi nilikuwa naomba msaada...
  12. coscated

    Hivi huyu Zomba ni 'Zombie' au?

    Ningependa kufahamu kuhusu huyu zomba je ni zombie(msukule) au? Maana mawazo anayochangia sijui yanatoka sayari gani kiasi kwamba napata wasiwasi kama huyu kiumbe anaishi duniani ama Tanzania. Naombeni msaada wenu wa mawazo tafadhali.
  13. coscated

    Matukio yaliyotikisa Tanzania tokea tupate uhuru

    Kuanzia awamu ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere aliyeiongoza nchi toka mwaka 1961 ilipopata uhuru hadi 1986, Rais Ali Hassan Mwinyi (1986-1995), Rais Benjamin Mkapa (1995-2005) na Rais Jakaya Kikwete (2005-hadi sasa), kumeibuka kashfa mbalimbali, saba zikiwa kubwa na kulitikisa taifa. Kashfa...
  14. coscated

    JK vunja ukimya cheza karata dume kwa kutimiza ahadi zako sasa

    nadhani huu ndio muda muafaka kwako jk kuicheza karata yako dume mapema kuimarisha ngome yako kwa kutekeleza sasa ahadi zako kama vile mameli, machinga complex, viwanja vya ndege, madaraja, reli ya kisasa, kubadili kigoma kuwa kama dubai, viwanda tanga na ahadi kemkem nyinginezo ulizoahidi.
  15. coscated

    Kwanini Kikwete asipeleke majeshi kwa Gbagbo kama walivyopeleka kule Comoro?

    Eti wadau kama rais Jakaya Kikwete asipeleke majeshi yake kule Ivory Coast ili kumtoa madarakani rais Laurent Gbagbo aliyeng'ang'ania madarakani kama alivyoyaongoza majeshi ya Tz kwenda kumuondoa mtawala wa Comoro kipindi kile?
  16. coscated

    Magazeti ya Rostam Aziz (RA)

    Eti wadau magazeti ya Rostam Aziz na yale anayoyafadhili ni yapi?
Back
Top Bottom