Kwanini Kikwete asipeleke majeshi kwa Gbagbo kama walivyopeleka kule Comoro? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Kikwete asipeleke majeshi kwa Gbagbo kama walivyopeleka kule Comoro?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by coscated, Jan 11, 2011.

 1. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Eti wadau kama rais Jakaya Kikwete asipeleke majeshi yake kule Ivory Coast ili kumtoa madarakani rais Laurent Gbagbo aliyeng'ang'ania madarakani kama alivyoyaongoza majeshi ya Tz kwenda kumuondoa mtawala wa Comoro kipindi kile?
   
 2. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  halafu alindwe na nani huko nyuma kwake maana sasa hata kivuli kinamtisha akilala anaota majinamizi! tehe-tehe....
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Labda Gbagbo ndiye atangulie kuleta majeshi Msata.
   
 4. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Achana na mambo ya Ivory Coast (hayo ynashughulikiwa na Jumuiya ya Kimataifa) hata hivyo hawezi peleka maana hata yeye hayuko madarakani kihalali
   
 5. T

  Tata JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  We unaulizia Ivory Coast mbona hapa jirani Somalia hatujaenda? Haya majeshi yetu ni kwa ajili ya kuwatisha vilaza kama wa Comoro siyo nchi zenye majeshi yenye kueleweka.
   
 6. sensa

  sensa JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwani nyie hamjui kwamba naye anasubiri kuletewa majeshi? hamuoni alivyopooza siku hizi?
   
 7. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  hapo umenena huenda hata yeye anatamani aongezewe ulinzi maana hali ni tete.
   
 8. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  sasa nimeelewa ndio maana alienda odinga badala ya kibaki maana angeenda kibaki, kikwete, mugabe etc wangezodolewa vibaya na mkuu gbagbo.
   
 9. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  kweli, jamaa kapoa
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Mbona nae ni kama huyo Gbagbo!
   
Loading...