Hivi huyu Zomba ni 'Zombie' au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huyu Zomba ni 'Zombie' au?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by coscated, Jan 15, 2011.

 1. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,503
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  Ningependa kufahamu kuhusu huyu zomba je ni zombie(msukule) au? Maana mawazo anayochangia sijui yanatoka sayari gani kiasi kwamba napata wasiwasi kama huyu kiumbe anaishi duniani ama Tanzania. Naombeni msaada wenu wa mawazo tafadhali.
   
Loading...