Aibu hizi mpaka lini TFF? Kibao cha kufanyia mabadiliko ni gharama kiasi gani?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aibu hizi mpaka lini TFF? Kibao cha kufanyia mabadiliko ni gharama kiasi gani?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by coscated, Jan 25, 2011.

 1. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,508
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Hivi TFF itaendelea kufuga hizi aibu na fedheha mpaka lini? Kwa mfano jana kuna mechi moja ya ligi kuu ilichezwa na hapakuwa na kibao cha kufanyia mabadiliko zaidi ya kutumia makaratasi ya kawaida. Jamani hili limekaaje? Na je kile kibao ni cha gharama kiasi gani? Naomba michango yenu wanajamii wenzangu.
   
Loading...