JK vunja ukimya cheza karata dume kwa kutimiza ahadi zako sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK vunja ukimya cheza karata dume kwa kutimiza ahadi zako sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by coscated, Jan 11, 2011.

 1. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  nadhani huu ndio muda muafaka kwako jk kuicheza karata yako dume mapema kuimarisha ngome yako kwa kutekeleza sasa ahadi zako kama vile mameli, machinga complex, viwanja vya ndege, madaraja, reli ya kisasa, kubadili kigoma kuwa kama dubai, viwanda tanga na ahadi kemkem nyinginezo ulizoahidi.
   
 2. M

  Mpendagiza Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndoto
   
 3. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  hapana hii si ndoto bali ni ahadi alizoahidi wakati wa kampeni.
   
 4. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Taarifa za ki intelijensia za ccm ni kwamba hazina ni kweupe mkwere kamaliza hela zote
   
 5. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  toba yairabi mbona za kuwalipa dowans zilipatikana yakhe?!
   
 6. T

  The Future. Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi wakuu bado mnamuamini mkwere? Wengine tulifanya mahesabu ya total cost ya ahadi zake tukagundua miaka mi 5 ni michache sana ukilinganisha na gross income ya hazina. Labda mumpe miaka 20. Wizi mtupu na ufisadi, msitarajie jipya.
   
 7. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  kwani ilani ya chama chake ni ya muda gani?
   
 8. T

  Tata JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,729
  Likes Received: 645
  Trophy Points: 280
  Hivi kuna watu kweli walimpa kura kwa kuamini kuwa alikuwa akitoa ahadi za kweli? kama ni hivyo basi Tanzania bado tuna safari ndefu sana kuanza mchakato wa maendeleo.
   
 9. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  kuna watu ni washabiki hata ukisimamisha shati ya ccm wanaipa kura.
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280

  kubadili kigoma kuwa kama dubai

  hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  he is all scared and shit!
   
Loading...