Search results

  1. M

    Naomba msaada wa ku reset password local machine windows 7

    Naomba msaada wa ku reset password local machine windows 7
  2. M

    Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa

    Wadau mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenye nauza nyumba yangu ambayo iko kwenye stage ya kupauliwa ukubwa wa kiwanja ni 20X34 iko juu mlimani kidogo bei inaanzia 24.5mil unaweza nipigia 0754432409
  3. M

    Vitambulisho vya Taifa Vs Sensa ya Makazi

    Wanajamvi hivi kwanini tupange foleni ya kuandikisha vitambulisho wakati watu wa sensa watapita kila nyumba kumuhesabu mtu na kuchukua baadhi ya maelezo kwanini form hizo zisiwe ndio za NIDA. badala ya kutumia fedha kibao kwa kazi mara mbili au hao NIDA wahesabu na watu moja kwa moja? nawakilisha
  4. M

    Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa

    Nauza nyumba Mbz Msakuzi haijapailiwa ina vyumba 3,kimoja master,jiko, choo,sitting na uwanja wake ni 20x34 bei inaanzia 20Mil. seriuos buyer can contact fmx6@yahoo.com
  5. M

    Bwire Mugeta anatafutwa kwa wizi

    Waungwana salaam, Bw Bwire Mugeta Alikopa fedha jumla ya 470,000/= na alihaidi kulipa ndani ya siku saba lakini hadi leo hajafanya hivyo, huyu jamaa amekuwa sio mstarabu fedha hizi alikopa mkoani shinyanga 28/01/2010 akiwa kama mfanyakazi wa UNV-UNDP kama NUNV SPECIALIST.SASA kwa sababu...
  6. M

    Msaada Installation ya Moodle -Course Contents Management system

    Tafadhari naomba msaada wa installation ya moodle nimejaribu napata error kibao
  7. M

    Asili ya magamba ni ubinafsi

    Huwezi kujivungua gamba kama sio mbinafsi na hii inadhihirika kwenye wabunge wa magamba kukatalia posho wakati watoto wa maskini wanakaa chini baada ya miaka 50 ya uhuru.
  8. M

    Shibuda: CCM ina uchakavu wa fikra

    Na Mwandishi Wetu, Thehabari, Maswa MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda amesema CCM ina uchakavu wa fikra na anguko la vitendo linalowatafuna viongozi wake hivyo kushindwa kutambua hisia za wananchi. Mbunge Shibuda akizungumza bungeni. Kwamba viongozi hao wamesahau na...
  9. M

    Natafuta BarCode na BarCode Reader Tafadhari ni PM

    Natafuta BarCode na BarCode Reader Tafadhari ni PM ,nazihitaji haraka sana kwa ajiri ya Fixed Asset management
  10. M

    Nimeibiwa fedha kwa njia ya mobile kwenye account NMB Bank

    Wandugu kuna ndugu yangu kaibiwa fedha zimechotwa kwenye account yake na kuwekwa kwenye account za watu wawili tofauti, Hili limetokea bank ya NMB halafu wahusika wa bank wamepewa taarifa lakini they take it serious not.WANA JAMVI NAOMBA MUONGOZO USHAHIDI NINAO WA KILA KITU.... ---- ---- ----
  11. M

    Migomo ya Wanafunzi/wahadhiri vyuo vikuu VS Fedha nyingi kwenye kampeni za CCM

    Wadau CCM ilitumie fedha nyingi sana kwenye kampeni sasa kwanini wasichangisha fedha kama walivyodai ili kupungaza migomo.
  12. M

    Natafuta Contena 20FT

    Wakubwa heshima mbele mwenye contena 20 ft la kuuza tafadhari ni PM
  13. M

    Natakakufungua duka la dawa Baridi -msaada tafadhari

    Wanajamvi! Nataka kufungua duka la dawa za binadamu naomba msaada jinsi ya kupata vibali maana nasikia kupata kibali ni ishu..rahisi kupata kibali cha kuuza kitimoto pakistan kuliko cha kuuza dawa tanzania. nawasilisha
  14. M

    Natafuta Gari Saloon ya injini ndogo bei isizidi 4mil

    Natafuta Gari Saloon ya injini ndogo bei isizidi 4mil...
Back
Top Bottom