Msaada Installation ya Moodle -Course Contents Management system | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Installation ya Moodle -Course Contents Management system

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mbeshere, Jun 28, 2011.

 1. m

  mbeshere Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhari naomba msaada wa installation ya moodle nimejaribu napata error kibao
   
 2. MTAMBOKITAMBO

  MTAMBOKITAMBO Senior Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Scan ur computer for viruses before you try again.
   
 3. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  • error haziji tu lazima kuna requiremnt hujazifanyia kazi au hatua unaziruka ndio maana unazipata....
  • Itakuwa kazi kupata msaada unaposema "errror kibao" Labda watabiri ndo wanaweza kukusaidia. taja specific error.....
  • Fanyia kazi error ya kwanza then endelea. Ukitatua error ya kwanza unawez kuta hakuna "error kibao" tena
  • Make google your best friend. google error unayopata .utapata workarrund za kuitatua. Vile vile tembelea forum au support yao hao moddle usome documenttaio zao kama hii Installing Moodle - MoodleDocs
  • Otherwise tafuta mtalamu mpe mshiko kidogo akupandishie kitu hewani kama ni mimi kazi ya less than 3 hrs installtion ni 10,000 Tsh teh teh teh
   
Loading...