Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mbeshere, Oct 18, 2012.

 1. m

  mbeshere Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenye nauza nyumba yangu ambayo iko kwenye stage ya kupauliwa ukubwa wa kiwanja ni 20X34 iko juu mlimani kidogo bei inaanzia 24.5mil
  unaweza nipigia IMG-20120422-00124.jpg IMG-20120422-00124.jpg [JFMP3][/JFMP3] 0754432409
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  picha haionekani vizuri...ina vyumba vingapi?
   
 3. m

  mbeshere Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkirua ina vyumba vitatu, kimoja master na pia kuna choo cha ndani ,dining na jiko iko kifamilia zaidi
   
 4. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mkirua
  [​IMG]
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nimekupata mbeshere, nitakutafuta kw namba uliyotoa though offer yako iko juu sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. m

  mbeshere Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkirua nitafute tuongee kaka sitaki dalali tu
   
 7. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Kiwanja kina mgogoro?
   
 8. m

  mbeshere Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TIQO
  Kiwanja hakina mgogoro kabisa mimi ndio mmiliki
   
Loading...