Nyumba Inauzwa Mbezi Msakuzi Haijapauliwa

mbeshere

Member
Nov 15, 2010
64
8
Nauza nyumba Mbz Msakuzi haijapailiwa ina vyumba 3,kimoja master,jiko, choo,sitting na uwanja wake ni 20x34 bei inaanzia 20Mil.
seriuos buyer can contact fmx6@yahoo.com
 
Nauza nyumba Mbz Msakuzi haijapailiwa ina vyumba 3,kimoja master,jiko, choo,sitting na uwanja wake ni 20x34 bei inaanzia 20Mil.
seriuos buyer can contact fmx6@yahoo.com

Mkuu, question for your "mbz Msakuzi" ni mbezi ya kimara au mbezi ya mbezi beach?
 
Bandika picha hapa, tuitazame na kutathmini bei yake. Otherwise kuna walakini iwapo hautoweka picha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom