Search results

  1. Enginier

    Nafungua mgahawa

    Nina eneo goba ready for use, njoo ulione. nicheki DM if interested
  2. Enginier

    Natafuta wataalamu wa blockchain Technology

    Unaweza jifunza kitu hapa pia t.me/cryptopierpump
  3. Enginier

    Freelance software developer

    Ntakutafuta.. Ungeweka na list ya kazi zako ingekua nzuri zaidi
  4. Enginier

    Zuku Sattelite Dish For Sale

    Nashukuru sana BRO SANTANA, ila kwa hiyo bei haina maslahi
  5. Enginier

    Zuku Sattelite Dish For Sale

    Nauza dish la zuku na vifaa vyake (decoder, dish,remote) limetumika kwa mwaka mmoja. Bei 50,000/= ninapatikana Dar es Salaam
  6. Enginier

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Hansdoors pia wanayo
  7. Enginier

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Picha hiyo hapo
  8. Enginier

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Wengine wanaiita ya kichina wengine wanaiita ya jeshini Sio yakichina jeshini
  9. Enginier

    Fundi Milango ya kichina/jeshini

    Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba Update. Nimefanikisha. Asanteni
  10. Enginier

    Video: Sehemu ya hotuba yangu nikitangaza nia ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mwigulu Nchemba juzi kwa mara ya kwanza nilikuelewa. Nitakuunga mkono chama chako kikikupitisha. Hongera kwa kuthubutu
  11. Enginier

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Toa alama ya kuuliza. Hilo ndio jibu
  12. Enginier

    Laptop on Sale: Acer Aspire 5733

    I failed to delete the post. Item Sold
  13. Enginier

    Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Mimi sina uzoefu sana na madawa ila Tuna system kwa ajili ya pharmacy. Katika kuwasaidia wateja kuingiza stock na kuseti system naona. Ukiwa na eneo zuri biashara inalipa sana maana huwa naangalia bei ya jumla na jinsi tunavyo Uziwa reja reja tofauti Ni kubwa. Pia mwenye duka mmoja alishaniambia...
  14. Enginier

    Walimu wa shule ya msingi Mtwara wanaswa kichakani

    Sidhani kama ni nikosa. Wenye matatizo ni hao walio enda kupiga chabo
  15. Enginier

    Laptop on Sale: Acer Aspire 5733

    OS - Windows 7 Ultimate, 32-bit CPU - Intel Core i3 380M / 2.53 GHz Memory - 4GB Hard disk - 320GB Display - 15.6'' HD LED LCD, Intel HD Graphics Battery - 6-cell Li-ion DVD Super Multi DL drive Price: 600,000/- Negotiable
  16. Enginier

    Wataalamu wa Mapenzi wanahitajika kunifunua Akili hapa

    Anataka panya trouser huyo ...
  17. Enginier

    Offer: Pharmacy Management System

    Inawezekana kabisa. Ila bei itategemea sana mahitaji yako. Naweza kukuambia bei kumbe mahitahi yako ni makubwa zaidi ya bei. Ni vyema kukupa bei baada ya kujua mahitaji yako. E.g. hizo report ulizosema. Kama itakua kawaida ntakufanyia lk 8
  18. Enginier

    Offer: Pharmacy Management System

    New Year Offer
Back
Top Bottom