Wataalamu wa Mapenzi wanahitajika kunifunua Akili hapa

Chunguza kwanza sababu zinazomfanya awe karibu na wewe kuliko kuanza kufikiria kumtongoza. UKishajua ndiyo utakuwa katika nafasi nzuri ya kutambua unasimamia wapi katika akili/moyo au nasfi yake, ndiyo unaweza kuchukua hatua. Usikute kuna kitu anakitafuta au kukitaka kupitia kwako, chunguza kwanza.
 
we nawe....chunguza tabia ikkuridhisha Fanya majamboz kwan ujui kama mwana mke atongoz ivyo ndo anakutaka........ayeeeya Fanya haraka ucje uka waiwa??
 
kuna dada mmoja
hapa kwa mtaa ambao naishi ni ndugu wa rafiki yangu amekuwa na mazoea na
mimi kiasi kwamba asipokutana na mie au kunipigia simu kwa siku ni
tatizo je hizi dalili za mwanamke akiwa amempenda mwanaume ama la ili
nitengeneze mazingira mapema

una uakika? kiufupi si dalili wewe hutujui?? mwenzio yupo darasani na
hapa ndipo mnapokosea. kesho kutwa utasema kakudondokea kuumbe!!!
naogopa sema hapa
 
hahaha wanaume wa Dar hata kuvunja biscuit hawawezi.. Sembuse kujua kama umependwa au lah..

Back to topic.. Dogo huyo dem anakuona mpo jinsia moja ndo maana anapenda urafiki na wewe kiukaribu sana.. Mtongoze akutukane... Upo mkoa gani lakini? Au panya road region?

sawa kabisa mkuu.....kamuona kama kadem fulani hivi kanataka company......
 
Chunguza kwanza sababu zinazomfanya awe karibu na wewe kuliko kuanza kufikiria kumtongoza. UKishajua ndiyo utakuwa katika nafasi nzuri ya kutambua unasimamia wapi katika akili/moyo au nasfi yake, ndiyo unaweza kuchukua hatua. Usikute kuna kitu anakitafuta au kukitaka kupitia kwako, chunguza kwanza.
PAMOJA MKUU
 
Wanaume wa Siku hizi jamani....
Siyo wote,Huyu ni mwanaume wa Dar mkuu!........Mimi mbona hapa mtaani nina dada ambae ni rafiki yangu mpendwa wala haitusumbui akili na kama ni mapenzi mda wake utafika sina haja ya kukurupuka au kukimbilia JF!
 
Back
Top Bottom