Walimu wa shule ya msingi Mtwara wanaswa kichakani

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Walimu wa shule ya msingi mkoani ruvuma wanaswa wakivunja amri ya 6 ya mungu VICHAKANI.... walimu hao uwa wanatoka kwenda vichakani kwa kisingizio eti wanatafuta FIMBO... siku 40 zao zilipofika ndo camera ikawamulika. Mkuu wa shule kaziona izo picha na kukiri wale wote ni walimu wa shule hiyo......������

attachment.php
 
Attachments

  • 1420722679267.jpg
    1420722679267.jpg
    44.3 KB · Views: 5,540
Asa huyo katoa mimacho hadi aibu afu mbona kava jeans shulenj yani walimu wengine bana.... Na huyo mwanamke na raba zake kama anacheza netball
 
Walimu wa shule ya msingi mkoani ruvuma wanaswa wakivunja amri ya 6 ya mungu VICHAKANI.... walimu hao uwa wanatoka kwenda vichakani kwa kisingizio eti wanatafuta FIMBO... siku 40 zao zilipofika ndo camera ikawamulika. Mkuu wa shule kaziona izo picha na kukiri wale wote ni walimu wa shule hiyo......😜😜😜
Video ipo kwa hisani ya whatsappView attachment 216986

Haha kweli papuchi na dushe viki misiana akili inapotea kabsa
 
sasa... mbona habari inasema Mtwara na pengine inasema ruvuma? au sio bongo? hata ivo waacheni waalimu watatue matatzo yao madogomadogo, kwa mshahara upi wa kuendea gesti!?... kama pana utulivu utoshao... hamna vijokajoka vya kuwakurupusha... twende kazi!...
 
heading nimekosea
 
Asa huyo katoa mimacho hadi aibu afu mbona kava jeans shulenj yani walimu wengine bana.... Na huyo mwanamke na raba zake kama anacheza netball
​ushaambiwa walimu wa shule ya msingi tena ruvuma huko nje ya tanzania unategemea wasiwe na vumbi usoni
 
Unahakika hii picha ni Tanzania? au unadhalilisha profesheni za watu?
 
Hiyo video nimeiona mwaka Jana mwanzoni, wala siyo ya Tanzania. Mleta mada acha kupotosha.
 
Mleta mada acha uongo, hii video niliiona tangu mwaka juzi na ilisambaa sana whatsapp ikisema ni wazimbabwe hao, hebu waombe radhi walimu wa mtwara
 
Back
Top Bottom