Fundi Milango ya kichina/jeshini

Enginier

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
275
35
Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba

Update.
Nimefanikisha. Asanteni
 
Wengine wanaiita ya kichina wengine wanaiita ya jeshini Sio yakichina jeshini
 
Picha hiyo hapo
 

Attachments

  • 1437153401562.jpg
    1437153401562.jpg
    31.3 KB · Views: 601
Nahitaji fundi wa milango ya kichina (ya jeshini) haraka. Mwenye namba tafadhali naomba

Update.
Nimefanikisha. Asanteni
Naomba na mimi unisaidie Namba za huyo fundi nina mlango wangu umenitoa jasho.wezi waliuharibu sasa imeshindwa kuwa sawa.naomba namba za huyo fundi nami nimtumie.No zangu 0653670252
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom