Offer: Pharmacy Management System

Enginier

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
275
35
New Year Offer
 

Attachments

  • OFFER2.jpg
    OFFER2.jpg
    37.3 KB · Views: 85
New Year Offer

Nina duka la vifaa vya ujenzi nataka application ambayo itasaidia kurekodi transactions za manunuzi na mauzo na kunipa report mbalimbali nitakazo hitaji

Unaweza develop Hiyo kitu kwa sh ngapi?
 
Inawezekana kabisa. Ila bei itategemea sana mahitaji yako. Naweza kukuambia bei kumbe mahitahi yako ni makubwa zaidi ya bei. Ni vyema kukupa bei baada ya kujua mahitaji yako. E.g. hizo report ulizosema.
Kama itakua kawaida ntakufanyia lk 8
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom